Rais Samia akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Rais Samia akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR, Bwawa la nyerere, ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Mimi nataka katiba mpya.
 
Back
Top Bottom