Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Uchaguzi una macho zaidi ya macho , hakuna kiongozi ambaye angethubutu kumletea Lissu fyoko fyoko angebaki salama
Kwani angeletewa kingetokea kitu gani?

Kwa hiyo umuhimu wake ni wakati wa kampeni tu baada ya hapo wanamtelekeza?
 
Siye tunaomuunga mkono mama samia tunasema hivi asije hata sikumoja kujaribu kufata njia za Magufuli, narudia tena asije kufanya vivo. Kule tumeshatoka hatutakiwi kurudi
 
..wanaomkosoa Mama Samia wasitumie lugha mbaya kama hawana wazazi nyumbani.

..Mama Samia naye ajiepushe kutoa kauli ngumu kama mtu asiyejua uchungu wa mwana au kulea.
 
Kipindi cha kampeni alienda hadi kariakoo kununua nyanya bila shida yeyote, alafu leo mtu unasema usalama wake uko mashakani?

Yeye asiporudi aseme tu kanogewa kwa amsterdam na siyo suala la usalama
Weee nawe zile risasi zaid 30 u.ezisahau
 
Nashangaa sana huyo Hery amepewa udc badala ya kuwa lupango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…