Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
watu kwa majibu mpo vizuriKipindi cha kampeni alienda hadi kariakoo kununua nyanya bila shida yeyote, alafu leo mtu unasema usalama wake uko mashakani?
Yeye asiporudi aseme tu kanogewa kwa amsterdam na siyo suala la usalama