benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.