Mpelekeeni Chato shimoni kwake.Ikulu ya Magufuli
Si tunajua cha kwake ni hilo shimo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpelekeeni Chato shimoni kwake.Ikulu ya Magufuli
Mwabudu mizimu huyoMungu akunyime vyote lakini akupe akili, wewe hukupaswa kupewa ubongo na Mungu maana hauna kazi nao, utu wa mgongo ungekutosha.
Wanaume tujitahidi kutumia condom kuikowa dunia kujaza wajinga kama huyu.
Jinga kabisa hilo.Mwabudu mizimu huyo
Raisi hayuko serous kwa kweli eti bulembo ni mshauri wa Raisi Allah tusitiri na kuwa na uelewa mdogo wa mamboRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.View attachment 2658616
Wamshauri kuwa asichukue ushaur kwa kikwete ,wameshauri nape na makamba wasiwaite watu sukuma gan .wamshaur pia ili aonekane yupo serous. Wamtoe makamba na nchemba kwenye hizo wizara hawafsi....yeye ndiye atakuwa anawashauri wamshauri nini, mkao unajieleza.
Cha kuvutia nje ya mada, wanaume hawa wanne sijui watano wataweza kabisa kushauri siasa na mahusiano ya kijamii kwenye jamii inayoundwa na wanawake, vijana na siasa za kitoto
Ila waafrika wabaya jmn ona yalivyokaa kaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.View attachment 2658616
Mshauri wa Allah!!???Raisi hayuko serous kwa kweli eti bulembo ni mshauri wa Raisi Allah tusitiri na kuwa na uelewa mdogo wa mambo
Lukuvi urais ndio basi tenaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.View attachment 2658616