Rais Samia Akutana na Washauri Wapya wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii Ikulu Chamwino

Mungu akunyime vyote lakini akupe akili, wewe hukupaswa kupewa ubongo na Mungu maana hauna kazi nao, utu wa mgongo ungekutosha.

Wanaume tujitahidi kutumia condom kuikowa dunia kujaza wajinga kama huyu.
Mwabudu mizimu huyo
 
Raisi hayuko serous kwa kweli eti bulembo ni mshauri wa Raisi Allah tusitiri na kuwa na uelewa mdogo wa mambo
 
....yeye ndiye atakuwa anawashauri wamshauri nini, mkao unajieleza.

Cha kuvutia nje ya mada, wanaume hawa wanne sijui watano wataweza kabisa kushauri siasa na mahusiano ya kijamii kwenye jamii inayoundwa na wanawake, vijana na siasa za kitoto
Wamshauri kuwa asichukue ushaur kwa kikwete ,wameshauri nape na makamba wasiwaite watu sukuma gan .wamshaur pia ili aonekane yupo serous. Wamtoe makamba na nchemba kwenye hizo wizara hawafsi
 
Ila waafrika wabaya jmn ona yalivyokaa kaa
 
Lukuvi urais ndio basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…