Rais Samia akutana na Waziri wa Nchi za nje wa China Wang Yi

Rais Samia akutana na Waziri wa Nchi za nje wa China Wang Yi

Bwana Wang Yi yupo kwenye ziara ya mwaka yaani China Annual Year Tour of Africa na ameishamaliza leo karudi Uchina.

Alikuwa akifanya ziara kwa nchi za Ethiopia, Jamhuri ya Somaliland, Lesotho na Tanzania.

Raisi Xi Jinping kamtuma huyo "Top Diplomat" kuangalia maendeleo ya ile miundombinu ya Belt na barabara na kuimarisha maeneo ya masoko mapya katika nchi hizo.

Kwa Tanzania bwana Yi kaja kuhakikisha miradi ya China (TAZARA) iko salama ila katika wote Ethiopia ndie alielamba dume kwa kukubaliana na China kujenga uchumi wa kidijitali na maeneo mengine ya kistratejia kwani Yi kasema Ethiopia ndio yatoa "a sound environment for Chinese enterprises to invest and conduct business," and said China looks to Ethiopia as playing "an important role in regional and international affairs."

Kwa wachambuzi , bwana Wang Yi aonekana ametumwa na raisi Xi Jinping kuhakikisha China yapata uhakika wa njia za usafirishaji baharini (critial shipping routes) na njia za usambazaji (resource supply lines) kwa Somaliland na Tanzania lakini ghalfa amefuta ziara ya Somaliland na wizara ya mambo ya nje ya Somaliland imesema itatoa sababu ya kufuta ziara hiyo baadae.
 
Back
Top Bottom