Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

Mheshimiwa asiwalaumu watu kwa kugeuza maneno yake, ajaribu kunyoosha maneno yake. Apunguze uswahili na maneno ya barazani.

Nafasi ya Urais ni kubwa sana, kauli ya Rais inabidi kueleweka kirahisi na hata mtoto mchanga. Nilimkosoa hata Magufuli kwa kutumia Kisukuma katika hotuba zake kwa sababu hiyo hiyo.

Natoa ushauri huu kwa heshima kubwa niliyonayo ya Taasisi ya Urais.
 
Shika adabu yako we ngedere
 
Nyota inayong'aa kuzimu, au jehanamu! Maana hapo kwenye picha naona waganga wa kienyeji na wachawi!
Kwa kuwa umjinga wa tamaduni za machifu...endelea tu kuwaona WACHAWI.....

Siempre SSH💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…