Maneno “bahati mbaya” kwenye sehemu vilipo viwanja na kuwa anajua watapata taabu kuvijenga akikusudia kuwa hawapendi kuishi Dodoma - hayakuwa ya lazima kusemwa. Anafanya Dodoma ionekane bado sana - je ni nani ataiendeleza kama mtazamo ni huu?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.