N NewOrder JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,120 Reaction score 2,833 Oct 29, 2021 #41 Maneno “bahati mbaya” kwenye sehemu vilipo viwanja na kuwa anajua watapata taabu kuvijenga akikusudia kuwa hawapendi kuishi Dodoma - hayakuwa ya lazima kusemwa. Anafanya Dodoma ionekane bado sana - je ni nani ataiendeleza kama mtazamo ni huu?!!
Maneno “bahati mbaya” kwenye sehemu vilipo viwanja na kuwa anajua watapata taabu kuvijenga akikusudia kuwa hawapendi kuishi Dodoma - hayakuwa ya lazima kusemwa. Anafanya Dodoma ionekane bado sana - je ni nani ataiendeleza kama mtazamo ni huu?!!
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Dec 18, 2022 #42 Hizi mbuzi ni za kuchinjwa tu ukizingatia huu ni msimu wa sikukuu