Mimi ninayejua kinachotokea kwenye tumbaku sasa hivi nasema
Mapumbu ya babu zako...
Labda kama unasifia jambo usilolijua...
Hivi unajua kabla ya samia mbolea tulinunua elfu 70 hadi 80, na bei ya tumbaku ilikua hadi elfu 7 kwa kilo!
Unajua baada ya kuingia Samia mbolea ilipanda ghafla na kufika hadi 150,000/= kwa mfuko? na bei ikabaki ile ile ina fluctuate.