Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Je katiba ya CCM inaruhusu ule mkutano kumchagua mgombea uraisi?Kibajaji ni darasa la saba hajui katiba
Katiba ya CCM inatamka wazi kuwa Mweenyekiti wa CCM ndie atakuwa mwenyekiti wa mkutano mkuu kumtoa mwenyekiti nje ni ukiukwaji wa katiba na ni mapinduzi ya kumpindua mwenyekiti mchana kweupe
Je katiba ya CCM inaruhusu ule mkutano kumchagua mgombea uraisi?
Kumbe ilikuwa hivi..!!!?????Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.
View attachment 3211139
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue
Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!
Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?
Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!
View attachment 3211140
Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa
Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?
===
Maoni ya mdau
Tatizo sio katiba au mamlaka ya kikao...Ndio mkutano mkuu unaruhusiwa kumpitisha Rais
Ibara ya 99 (7) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 inaeleza pia kwamba Kikao hiki cha juu kabisa ndani ya CCM na chenye nguvu kubwa kuliko Kikao chochote kile kitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye atakuwa ndiye Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu
Kumbe ilikuwa hivi..!!!?????
Hatukufuatilia mambo yao hawa, macho na masikio yetu yalikuwa kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA
Walivyovaa tu unaweza kudhani kama watu wa maana sana, lakini kumbe ni mbwa mwitu au mafisi ktk mavazi ya kijani...
Kuna kila dalili kuwa maamuzi haya yatapingwa na kundi litakaloibuka kwa nguvu sana miongoni mwa mafisi yenyewe...
BY THE WAY, hivi inawezekana vipi sisi Watanganyika zaidi ya milioni 64 tuendelee kuongozwa na Wazanzibari wawili tena watoto wa baba mmoja (Ally Hassan Mwinyi....?)
Watanganyika ni nani katuloga aisee kiasi cha kukosa akili hivi..??
Kile kikao, kikatiba,(ya CCM ya 1977 toleo la Disemba 2022, ibara ya 100, kifungu cha 5 c) hakikuwa cha kumpitisha mgombea urais.
Kile kikao kilikuwa cha kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Habari ya kupitisha jina la mgombea urais hata haikuwa kwenye ajenda, imelazimishwa tu, tena kwa kuvunja katiba ya CCM.
Taratibu za kikao zilikiukwa.Ilitakiwa asimamie mwenyekiti mwingine na Samia na Mwinyi watoke ili wajadiliwe.Ndio mkutano mkuu unaruhusiwa kumpitisha Rais kwa Azimio. Na pale walipitisha azimio hilo
Akisoma azimio hilo, mtoa hoja, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa na Mbunge wa Viti Maalumu, Ngβwasi Kamani, amesema; βKwa kuzingatia mamlaka tuliyonayo chini ya Ibara ya 101, kifungu kidogo cha tano B cha Katiba ya CCM, kwa pamoja tunaazimia jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa ndiye mwanachama atakayesimama katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.β
Azimio hilo limeielekeza Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa upande wake, ikizingatia ibara ya 103 kifungu kidogo cha 12 B, kutekeleza jukumu lake hilo leo, Januari 19, 2025.
pia Ibara ya 99 (7) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 inaeleza pia kwamba Kikao hiki cha juu kabisa ndani ya CCM na chenye nguvu kubwa kuliko Kikao chochote kile kitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye atakuwa ndiye Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu
Ni Vijana Wa hovyo wanashangilia chochote pasipo kuelewaYaan vijana wa uvccm ovyo sana mpka kikwete kawambia " vijana linapozungumzwa jamboa la msingi mtulie na bbadae ndo mshike mabango" na Hawa vijana wamekua wanakurumuka sana pasipo kujua wanakurupukia nn??
Mama hajiamini na ndiyo maana anajaza wastaafu katika safu yake ndani ya CCM.
wastaafu wangapi alio wajaza maana hata wasira hakuwahi staafu nchimbi ndio kwanza ana miaka 53 haya yupi mstaafu alie mjaza.kumbuka nafasi ya makamu mwenyekiti bara kipindi cha jpm alikua mzee Mangula na alikua kastaafu na alikua karudi kijijini kwake Mtwango Njombe lkn akarudishwa kazini lkn hakukua na makelele ya hovyoMama hajiamini na ndiyo maana anajaza wastaafu katika safu yake ndani ya CCM.
Kwani kuna anayetaka hasara kama hii? Sijui hata kama naye anajitaka. Hata aliyemtengeza, yaani mwenda zake, hukujua alichokuwa akitengeneza.Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.
View attachment 3211139
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue
Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!
Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?
Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!
View attachment 3211140
Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa
Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?
===
Maoni ya mdau
Hakuna ujanja wowote bali kutojiamini na kuwaamini wenzake. Huu ni ushahidi kuwa hafai kabisa hata kuongoza nyumba kumi.Hapo Samia amekuwa mjanja.
Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.
View attachment 3211139
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue
Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!
Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?
Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!
View attachment 3211140
Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa
Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?
===
Maoni ya mdau
JK kamchana liveHapo Samia amekuwa mjanja.
Alikuwa amechapa usingizi? πππ
Safi sanaRais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.