Pre GE2025 Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmmmh mbona hii video inaongea mengi sana... Ni kama mbele kuna giza hivi
Katiba inasemaje kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama. Sijawahi kuona wakitoka nje. Hata Chadema walikaa ndani mwanzo mwisho. Kibajaji akitaka ama apime uhalisia wa kura.
 
Kuna siku nguvu ya umma itaingia huko ila sema watanzania wengi washakuwa kama nyumbu
 
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.

View attachment 3211139
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue

Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!

Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?

Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!

View attachment 3211140
Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa

Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?

===

Maoni ya mdau

ccm wako kimyaaaaaa
 
Si katiba yao inasema aongoze kwa mihula miwili, sasa hapo tatizo liko wapi ety kusema anaogopa kuna mtu atamchallenge
 
VYAMA RAFIKI VYA CCM, KUNA KITU TUMEJIFUNZA KWA CHAMA CHA UKOMBOZI CCM

Vyama vya ukombozi vya Afrika ANC South Africa , FRELIMO Mozambique, NRM Uganda , ZANU PF Zimbabwe, na kutoka Burundi CNDD–FDD (Conseil National Pour la Défense de la Démocratie – Forces pour la Défense de la Démocratie), kupitia wajumbe wake wageni baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Dharura uliomalizika mjini Dodoma January 19, 2025 vimesifu mfumo wa kiuongozi wa chama dola kongwe CCM na kukimwagia sifa tele kwa michakato yake ya kidemokrasia inayofuata katiba ya chama hickory kongwe CCM.

Chama kongwe dola CCM kimesema ipo haja ya vyama kongwe vya ukombozi barani Afrika kuwa na siasa za mabadiliko ili kwenda na mahitaji ya kizazi cha sasa na hivyo kuweza kibaki madarakani..

Tanzania's ruling party urge other African political parties to create progressive policies - SADC

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kx3aTAYAphM
Tanzania's ruling party CCM has urged other African political parties to take its cue in creating progressive policies that directly impact the lives of the people.
The Party's leadership made the call in Dodoma during the CCM Extraordinary Congress where it took stock of how its people-centred manifesto has enhanced the quality of life for Tanzanians.CCM outlined the development projects across Tanzanian mainland and the islands of Zanzibar.
Source : Eye on SADC
 
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.

View attachment 3211139
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue

Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!

Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?

Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!

View attachment 3211140
Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa

Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?

===

Maoni ya mdau
Udikteta mkubwa.
 
Kama wanaibaka katiba yao hadharani hivi, mnazani ya watanzania na watanzania wenyewe.

Ila huyu kibajaj hapa KACHAMBIA MOTO, sidhani kama atarudi bungeni, kaishaonekana kama anampinga vile.
 
Hapo Samia amekuwa mjanja.
Mambo haya angefanya JPM kipindi kile, angeandamwa sana, angeitwa majina ya dikteta, mbabe, anaburuza chama. Haya sasa, chama ndo kimerudi kwa wenyewe na mkashangilia hizo kauli! Wenyewe wanasema wajadili, unawakatalia. Mbaya zaidi agenda imeletwa juu kwa juu, haikuwepo, mbaya tena imeletwa na JK, ambae ni mualikwa tu, mbaya kuliko, haijafata katiba.
Bora hata angepewa nchimbi kuiwasilisha
 
Kile kikao, kikatiba,(ya CCM ya 1977 toleo la Disemba 2022, ibara ya 100, kifungu cha 5 c) hakikuwa cha kumpitisha mgombea urais.

Kile kikao kilikuwa cha kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM.

Habari ya kupitisha jina la mgombea urais hata haikuwa kwenye ajenda, imelazimishwa tu, tena kwa kuvunja katiba ya CCM.
CCM inaelekea kuwa tishio kwa usalama wa Taifa. Tukio kama lile na all organs wakashindwa kuipangua ni udhaifu wa aibu.
 
Mzee wa chama sehemu kama zile si ndio alipaswa kusimamia misingi ya chama?
 
Hii inamaanisha wapo next level baada ya kupora uchaguzi mzima wanaelekea kupora na haki ya kugombea kabisa, wameanzia ndani ya chama chao chakavu then itakuja kwenye utawala wa nchi.

Walianza kwa kuiba kura, wakapaa kupita bila kupingwa, baadaye kupora mitaa, vitongoji na majimbo mojamoja, baadaye wakaanza kununua kama bidhaa mwisho wakafikia kupora uchaguzi mzima, sasa wanaenda next level ya kuzuia hata kuomba uongozi kwa kujaza fomu wakati wanaelekea kwenye ufalme na umalkia kamili
 
Angekubali kutoka asingerudi.. Kisingizio cha kuwa mwenyekiti wa kikao hakikuwa na mantiki kwakuwa angekaimu kwa muda!
 
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.

View attachment 3211139
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue

Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!

Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?

Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!

View attachment 3211140
Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa

Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?

===

Maoni ya mdau
Demokrasia kuiishi
 
Back
Top Bottom