1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano.
Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake wakamzidi nguvu and being manamke aka succumb to internal pressure.
2. With time naye Samia madaraka yakawa matamu na ku develop internal, highly internalised presidential supremacy and she became supreme aggressive of power, ndiyo hali inayowapoteza watanzania/watanganyika wenzetu leo so as to consolidate power!
3. All human beings tunaingi kwenye ndoa na mapenzi makubwa, lakini baadaye ndoa zinavunjika. Huwezi kumlaumu mtoto kuwa kwanini ulijiingiza kwenye ndoa! Tuna tabia ya kuficha uhalisia wa ndani yetu tunapokuwa wageni kwenye jambo lolote.
With time uhalisia wa ndani ya mioyo yetu huja baadaye.
Likewise, Mbowe asingeliweza kukataa wito wa Samia kuwa njoo tuzungume tukoke kwenye mkwamo wa mtangulizi wangu! ASILAUMIWE MTU
4. WE LEARN THROUGH MISTAKES
Tuache utani wa kukataa kukabiliana na ukweli wa makosa ya mwenyekiti..
Alikosea na anapaswa kukiri kuwa alikosea kisha wakae na kuona namna njema ya kwenda mbele...
Inakuwaje miaka 30+ ya Freeman Mbowe kwenye active politics asiwajue CCM kwamba ndio mababa wa ulaghai na uongo na ambao yeye binafsi wamemtesa na kumuumiza sana tu...??
Nadhani Freeman Mbowe ni kama Samson wa kwenye Biblia aliyeingizwa mkenge na mwanamke laghai Delila kiasi cha kuuza nguvu na urithi wake aliopewa na Mungu....
Freeman Mbowe ni Samson kwa Samia bila shaka🤪🤪🤪🤪..
Nachangia hoja kama ifuatavyo:
1. FM alipaswa kabla ya kuingia kwenye hicho kinachoitwa maridhiano, aki - consult chama chake kwanza kwa mashauriano na kuweka msingi wa makubaliano. Kwenye hili, bila shaka alitumia vibaya madaraka yake ya uenyekiti kuwaburuza wenzake na mwishoni akiwa ameshachelewa akaja kugundua alidanganyika na kudanganyika kwelikweli na uamuzi wake huo leo unamgharimu...
2.
Pascal Mayalla anajaribu kumlaumu Tundu Lissu kwenye hili kwamba anamshambulia kireja reja mweyekiti wake juu ya uamuzi wake huo kwenda kujikomba kwa CCM na Rais Samia kwa ajili ya nusu mkate ambao nao hata haukupatikana. Labda kweli TL anam - scorn mwenyekiti kwa namna hiyo. Lakini kama watu wazima, ni rahisi kuweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna misunderstandings za kutosha especially kwa top leaders na ndani ya kamati kuu chombo kikuu cha kukiongoza na kukiweka sawa chama. Na inawezekana kutoelewana na kukubaliana kwao kunasababishwa na M/Kiti kutaka kuwaburuza na kutowasikiliza wenzake kwa maamuzi yake kama kile ya kilichoitwa "maridhiano ya kitaifa..."
3. Back to hayo yaitwayo "maridhiano ya kitaifa:"
Naweza kusema kwa hakika kabisa kuwa, hayo hayakuwa maridhiano ya kitaifa kwa sababu misingi na kanuni za maridhiano hazikufuatwa na hazikuwa wazi. Hayo yalikuwa ni mazungumzo tu kati ya Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe/CHADEMA kwa ajili yao na manufaa yao binafsi na ndiyo maana yameshindikana na kufa kifo cha kawaida kwa sababu watu waliona kasoro hiyo mapema...
4. Ingekuwa kweli ni "
National Reconciliation", basi kungeundwa chombo maalumu cha kitaifa (
Tume ya Upatanishi na Maridhiano ya Kitaifa) kwa mujibu wa sheria kikiwa na hadidu rejea zilizo wazi kwa kila mtu kama ilivyowahi kufanyika kule Afrika ya Kusini miaka michache baada Apartheid regime kuanguka. Taifa hili si CCM na CHADEMA tu. Walioumizwa na utawala wa Hayati Rais John P. Magufuli (2015 - 2021) si CHADEMA peke yako bali ni karibu watu wote. Kwa hiyo hilo lilikuwa kosa na ulaghai namba moja ambalo Freeman Mbowe alipaswa kuliona mapema na kulikwepa...
5. Tume hiyo ilipaswa kuhusisha makundi yote ya watu; vyama vya siasa, wanasiasa, wafanyabishara, viongozi wa dini, wanasheria, wananchi wa kawaida, majaji nk ili kukutana, kusikiliza na kuamua kila kesi ya mwenye malalamiko ya kuumizwa na utawala wa Hayati Rais John P. Magufuli na tume hiyo kutoa way forward ili kuzuia makosa na ujinga huo kutojirudia tena. Sasa ndugu
Retired, Freeman Mbowe alishindwa nini kujua mambo rahisi kama haya? Na unadhani hakutahadharishwa na wanaoujua mapema na yeye kudinda na kuzamisha kichwa chini kama mbuni..?
6. Kama kiongozi mkuu wa chama, hawezi kukwepa kubeba lawama kwa kukosa vision kwenye hili kiasi cha kuwaingiza wenzake na chama kwa ujumla kwenye shida na dhihaka za ma - CCM na leo yaliyofanyika kipindi cha mwendazake Magufuli ndo hayohayo yanafanyika tena ktk hali ya ubaya zaidi...
7. Na kwa Rais Samia Suluhu Hassan kama ambavyo wewe na
Pascal Mayalla mnajaribu kumtetea na kuwarushia lawama wenzake CCM.
Mimi nasema hapana, ni yeye na ni yeye tu ndiye mwenye kulaumiwa kwa mkwamo huu na kuturudisha kwenye uchafu na ubaya wa ki - Magufuli...
8. Ni wazi kuwa mmesahau nguvu na mamlaka ya u- Rais wa kifalme/kimalkia kikatiba aliyo nayo Rais wa Tanganyika, kwamba anaweza kuyatumia anyhow kwa "kadiri aonavyo inafaa" yeye na ndiyo maana akaanzisha mamlaka na cheo cha u - Naibu Waziri Mkuu wa Tanganyika ambayo hayapo kikatiba. Sasa tunaweza vipi kusema alizidiwa nguvu na wahifidhina huku akiwa na nguvu na mamlaka yote hayo ya kufanya lolote kikatiba bila kuzuiliwa na yeyote ndani ya serikali na ndani ya chama ?
Kwenye hili ukweli ni kuwa hakuwa na nia na wala hajawahi kuwa na nia ya kuleta mabadiliko yoyote. Hizo 4Rs ni ulaghai wa kisiasa tu kumlegeza Freeman Mbowe lakini ukweli ni kuwa hazina impact wala maana yoyote hadi sasa. Yeye na wenzake serikalini/CCM waliamua hivyo kwa mapatano na ni giliba za kisiasa tu hizo na bahati mbaya kuwa Freeman Mbowe alikubali kuingizwa mkenge kwa dizaini ile...
9. Kwenye ishu ya "uanamke" wake a.k.a "womanship weaknesses" nakubaliana nanyi nyote
Pascal Mayalla na wewe
Retired. Kwenye hili msimamo wangu siku zote ni kuwa,
naturally mwanamke yeyote hafai na hawezi kuwa kiongozi mkuu mzuri wa nchi na taifa hili la Tanganyika. Kwa huyu wetu ana sifa nyingine mbaya zaidi inayom - disqualify moja kwa moja, kwamba, si Mtanganyika ni Mzanzibari. Ni ujinga sana sisi Watanganyika kukubali tuwe na kiongozi mkuu wa nchi raia toka taifa na nchi nyingine..!
10.
Pascal Mayalla tunajua wewe ni mwana CCM kindakindaki. Tunajua pia kuwa una inlfuence fulani ndani ya chama chako hicho japo 2020 "
wajumbe noma" walikukatilia mbali huko Kawe kwa kukunyima kura ya uteuzi kugombea ubunge wa jimbo la Kawe na nafasi hiyo kupewa Askofu & Mch. Josephat Gwajima. It's sad kuwa, walikuibia hadi kura yako mwenyewe unless utuambie kuwa hukujipigia kura🤪
Sasa basi, tumia influence yako hiyo kuwaambia wenzake wasije wakamrudisha huyu mama 2025. Yalifanyika makosa mwaka 2015 kuteuliwa kuwa mgombea mwenza na tulitaka turekebishe mwaka 2021 baada ya "Jiwe" kufa kwa kutokumpa huu u - Rais wake alionao sasa, lakini Watanganyika tuliamua tuiheshimu katiba ingalau kwenye eneo hilo. Lakini sasa wakati wa kurekebisha makosa umepatikana....
Don't repeat this fatal mistake otherwise mtaleta chaos ambayo hakuna wa kuituliza isipokuwa Mungu mwenyewe huku ikiondoka na uhai wa CCM na baadhi yenu. Msije mkasema hatukuwaonya au kuwaambia mapema...!
Kila la kheri
CC:
Pascal Mayalla,
Lucas Mwashambwa,
FaizaFoxy,
Tlaatlaah,
ChoiceVariable,
Rabbon,
Stuxnet Dr Akili Cute Wife Kalamu technically Mag3,
JokaKuu