Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Ukiangalia mambo ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini nafikiri utakubaliana na Rais Samia kuwa waTanganyika hawahitaji KATIBA MPYA
Wanachotaka ni kuwepo kwa Uhakika wa chakula uwepo wa ajira pamoja na gharama za maisha kuwa chini...
Wengi wao wanaotaka katiba mpya ni wale waliopo kwenye siasa maana wao ndiyo watakuwa wanufaika wakubwa wa hiyo katiba na sio mTanganyika aliyepo kijijini maana hajua hata maana halisi ya Katiba
Mwisho Zanzibar wana Katiba yao na sijawahi sikia wanaipigia kelele hata siku moja hivi ni kwanini?