PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna mtu aliyefariki kwa "vurugu" policcm wameua watu kwa kuwapiga risasi kiholela mitaani ,sehemu za starehe na majumbani.

Hakuna bunge na wala yeye hakuchaguliwa yeye title yake ni muuaji kwa sasa ajiandae kwenda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.

Huko ataeleza vizuri hao aliosema waliuwawa ni wageni ilhali misiba imetapakaa kwenye familia za watnazania.
 

Attachments

  • 6228485-b6ff8e3c492b6209e00132b5f5a8171.mp4
    1.1 MB

Kelele zimeanza kuwaingia. Yaani anachukua WIKI MBILI kusema haya .... Yanatoka kweli Moyoni au ni kwa vile tu hana jinsi....!!?
 
BIla aibu
Lakini ni pazuri pa kuanzia. Kama kakiri kuna "watu" waliuawa na kweli wamekufa basi pia atoe tamko juu ya wale waliofanya mauaji. Yes, waliouawa wapate haki yao na walioua wakamatwe na wafikishwe panapostahili maana pole tu ya mdomo alafu wauaji waachwe tu uraiani bado haimake sense
 
Muuawaji mkubwa na mnafki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…