PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nchi za nje zilishatoa pole kitambo yeye ndo anatoa pole leo
 
Mwambieni mama hatutaki hii lugha angeiongea kabla ya uchaguzi tusingefika hapa yani ndugu zetu wawaue arafu leo ndio waseme nywiii nywiii
 
Lakini ni pazuri pa kuanzia. Kama kakiri kuna "watu" walioitwa na kweli wamekufa basi pia atoe tamko juu ya wale waliofanya mauaji. Yes, waliuawa wapate haki yao na walioua wakamatwe na wafikishwe panapostahili maana pole tu ya mdomo alafu wauaji waachwe tu uraiani bado haimake sense
Hatatoa tamko lolote kuhusu waliofanya mauaji hayo. Wataendelea kudunda bila kuchukuliwa hatua yoyote.
Ameona mambo yanaenda kuwa mabaya kwa upande wake akaona ajifanye kutoa pole.
 
Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.

Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.

Kuna wale machawa (chama cha mawakili wa serikali, bakwata na the like) waliokuwa wanalaani na kuwaita wahuni wale walio kufa na walioandamana sasa sijui watasahisha maneno yao.

Muda mwingine ukiruhusu sana njaa unarharaurika sana.
 
Rais Samia amsema natoa pole kwa famia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
Eti kiini cha Tatizo wakati yeye ndio tatizo
 
Leo ndio kajua kunawatu waliuwawa.

Kipindi anapewa cheti akulijua ilo
Kipindi anaapishwa yani hakua anafahamu
si unaelewa maji yameanza kuzidi unga wake? Tena alisema kabisa bila hata mshipa wa aibu eti "hao ni raia wa nchi nyingine!" yaani hakuna mtanzania aliekufa!! Ila al4chokifanya ndo amezidisha uchungu mara 5 kwa raia!! Hebu tuone disemba 9 raia watafanya nini!
 
Kuna wale machawa (chama cha mawakili wa serikali, bakwata na the like) waliokuwa wanalaani na kuwaita wahuni wale walio kufa na walioandamana sasa sijui watasahisha maneno yao.
Wamebakiwa midomo wazi huko especially BAKWATA, TPBA na yule sheekhe mjinga... nahisi hao ndio walimshauri kuua
 
Back
Top Bottom