binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Wamepata internet leo, Yeye, Bakwata na Zitto Kabwe.
Muliro ana kiburi sanaMuliro alisema ni AI.
Wasitusamehe, na sisi hatuwasamehe.
Mfano ni tume ya haki jinaiHaya mambo ya Tume huwa anasema kila siku lakini matokeo ni sifuri
Kwani msiba wa Kibao nao si tume iliundwa ila hadi leo kimya baada ya kujua wamehusika waoMuuaji anapounda tume kuchunguza mauaji aliyoyafanya 🤣.
ICC haiepukikiMuuaji anapounda tume kuchunguza mauaji aliyoyafanya 🤣.
Waliuwawaaa kwa risasiii anachunguza nn? Kwan aliyetoa amri wapigwe risasiii hajulikani?Rais Samia amsema natoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
mbona hajasema maiti walizoziiba na kuzifukia kwa mafungu kwamba watazirudisha zizikwe kwa heshima?na waseme kwanini walizika kwa siriRais Samia amsema natoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
Mbona mnatuchanganya??Rais Samia amsema natoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.