Ganjafarmer
Member
- Jun 28, 2017
- 90
- 111
yeye atakubali tumuue kisha tuwape ndugu zake Pole?
Huyu mbona anazungukazunguka tu? Aliyetoa amri ya kupiga watu risasi za moto ni nani? Watu hawakufa kwa kukanyagwa na watu wengine (stampede)!Rais Samia amsema natoa pole kwa famia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
Ni psycopathWatu walioandamana samia alisema sio watanzania sasa anatoq pole kwa nani ? hivi bado mnakaa mnamsikiliza mtu kama huyu.
Jeshi la polisi walioandama walisema sio watanzania lakini kesi wamepewa watanzania na upinzani.
Haya mambo ya Tume huwa anasema kila siku lakini matokeo ni sifuriPia kasema serikali imeunda tume (Inquiry Commission).
Too little, too late!Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
Pole sana,hata mimi na hasira kubwa sana,huyu mama hathamini uhai kabisaYani bora angee kaa kmya na hasira sana mimi.
Tuna Rais psycopathRais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
Anaunda tume ya nini wakati kina mwafwele walijitamba kabisa wamwshika watu watu wanapotea wanakufa hawasemi leo eti tume tume yanini mafwele na genge lake anatajwa kila siku wamemfanyeje inauzi sana lugha za kishamba kama hizi hatuzitaki anatoa pole leo kwanini siku anapishwa hakutoa poleAnaunda tume baada ya kubanwa na UN kuhusu kuchunguza vifo na sio vinginevyo
Kweli kabisa,na atafanya sarakasi na hiyo tume haitaleta majibu chanyaAnaunda tume baada ya kubanwa na UN kuhusu kuchunguza vifo na sio vinginevyo
Ameona aibu baada ya kuona mataifa ya nje yanatoa pole naye kaamua kutoa poleAnaunda tume ya nini wakati kina mwafwele walijitamba kabisa wamwshika watu watu wanapotea wanakufa hawasemi leo eti tume tume yanini mafwele na genge lake anatajwa kila siku wamemfanyeje inauzi sana lugha za kishamba kama hizi hatuzitaki anatoa pole leo kwanini siku anapishwa hakutoa pole
Halafu mazafaka Muliro ameshasema zile videoclips za mauaji ni za AI.Watu walioandamana samia alisema sio watanzania sasa anatoq pole kwa nani ? hivi bado mnakaa mnamsikiliza mtu kama huyu.
Jeshi la polisi walioandama walisema sio watanzania lakini kesi wamepewa watanzania na upinzani.