DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi.
Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mkongo wa mawasiliano wa pili wa baharini barani Afrika pamoja na huduma ya mawasiliano ya intaneti ya kasi ya 5G ya Airtel Tanzania.