Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Unateseka ukiwa wap Sasa?
 
Unaambiwa lile ni Ongezeko la punguzo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sema hatukuelewana vizuri!!!
 
Kwa taarifa yako hao walimu unaowaita ni wa Grade 1, kwa wastani mishahara yao ni kidogo sana ukilinganisha na wale unaowaita Popote kambi!!

Kwa taarifa yako pia huko serikalini walimu ndio wenye mishahara mikubwa ukilinganisha na watumishi wengine wa serikali wanaolingana sifa (digrii kwa digrii, diploma kwa diploma, cheti kwa cheti). Walimu wanazidiwa mishahara na kada chache sana yaani madaktari, wafamasia, watafiti, na mainjinia!! Waliobaki wanapigwa gepu na walimu lakini ndio wamejazana humu wakiwabeza walimu!!
 
Nina akili nyingi sana. Niliyokueleza ni kweli mtupu na unajua. Kila walimu mkitokeza kichwa nitakua nachapa
Utakuwa na laana wewe siyo bure! Pole sana na unastahili kusamehewa bure!! Nampa pole anayetazamia busara kutoka kwako maana atasubiri sana!!
 
Huna unachojua wewe ticha wa mwendokasi
 
watumishi wasiwe na wasiwasi hela ipo nyingi watapata, trion 1 na bilion mia tano tisini ukigawa kwa idadi ya watumishi wa umma laki sita unapata kwa wastani Kila mtumishi anapata ongezeko la laki mbili
Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe, hatimaye ukweli umeujua na umejua nilikua sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…