Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Unaposema shida ni walimu kuwa na uelewa mdogo wewe ulifundishwa na Nani ili uwe na uelewa mkubwa? Hivi kauli "Serikali imeridhia ongezeko la mishahara kuwa 23.3% kwa watumishi ikiwemo kima Cha chini kunahitaji PHD kujua maana yake? Acha dharau ndg, kuwa mwalimu usidhani ndo watu hawana uelewa wa mambo ndo maana Mwl aliitoa nchi hii chini ya ukoloni, ni kada ipi nyingine ilidhubutu kuzungumzia uhuru wa nchi tofauti na kulamba miguu ya wazungu?
Unateseka ukiwa wap Sasa?
 
Na wengine ni wakristo kabisa 😀😀
IMG-20220722-WA0001.jpg
 
Unaambiwa lile ni Ongezeko la punguzo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

sema hatukuelewana vizuri!!!
 
Kuna madaraja mawili ya walimu

- Grade 1, hawa ni wale waliopo shule za English medium (feza, IST, Shabani Robert n.k) na za seminary

- Popote kambi, Hawa Sasa ni wale wenzangu na Mimi waliopo shule za serikali ambao ndio wengi wamewehuka humu JF

Watoto wangu wanafundishwa na waliopo kwenye hilo kundi la kwanza
Kwa taarifa yako hao walimu unaowaita ni wa Grade 1, kwa wastani mishahara yao ni kidogo sana ukilinganisha na wale unaowaita Popote kambi!!

Kwa taarifa yako pia huko serikalini walimu ndio wenye mishahara mikubwa ukilinganisha na watumishi wengine wa serikali wanaolingana sifa (digrii kwa digrii, diploma kwa diploma, cheti kwa cheti). Walimu wanazidiwa mishahara na kada chache sana yaani madaktari, wafamasia, watafiti, na mainjinia!! Waliobaki wanapigwa gepu na walimu lakini ndio wamejazana humu wakiwabeza walimu!!
 
Nina akili nyingi sana. Niliyokueleza ni kweli mtupu na unajua. Kila walimu mkitokeza kichwa nitakua nachapa
Utakuwa na laana wewe siyo bure! Pole sana na unastahili kusamehewa bure!! Nampa pole anayetazamia busara kutoka kwako maana atasubiri sana!!
 
Kwa taarifa yako hao walimu unaowaita ni wa Grade 1, kwa wastani mishahara yao ni kidogo sana ukilinganisha na wale unaowaita Popote kambi!!

Kwa taarifa yako pia huko serikalini walimu ndio wenye mishahara mikubwa ukilinganisha na watumishi wengine wa serikali wanaolingana sifa (digrii kwa digrii, diploma kwa diploma, cheti kwa cheti). Walimu wanazidiwa mishahara na kada chache sana yaani madaktari, wafamasia, watafiti, na mainjinia!! Waliobaki wanapigwa gepu na walimu lakini ndio wamejazana humu wakiwabeza walimu!!
Huna unachojua wewe ticha wa mwendokasi
 
watumishi wasiwe na wasiwasi hela ipo nyingi watapata, trion 1 na bilion mia tano tisini ukigawa kwa idadi ya watumishi wa umma laki sita unapata kwa wastani Kila mtumishi anapata ongezeko la laki mbili
Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe, hatimaye ukweli umeujua na umejua nilikua sahihi
 
Back
Top Bottom