Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia raisi. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima Cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa raisi wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%?? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Raisi mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Subirini mishahara bado haijatoka
 
Haki haiombwi,unayemtetea anafahamu uliyoyawasilisha hapa?Kuna nini leo mbona nyuzi za nyongeza ya mishahara zinapandishwa kwa kasi?

Kuhusu watumishi kuridhika kwa wanachopew,umewahi kufikiri wamevumilia vingapi huku wakifanikisha agenda za watawala za miradi ya kimkakati?Kweli mateso ya karai ya zege hayataisha milele.
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia raisi. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima Cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa raisi wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%?? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Raisi mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Kwani nyongeza ya mshahara kwa 23.3% lengo lake lilikuwa kupunguza gap kati ya wale wa kima Cha chini na kima Cha juu Cha mshahara??
 
Ni vyema ukaacha kusikiliza habari za mtaani.
Utaaibika bure.
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae
 
Wote wapitiao mateso Kutoka Kwa "WAKOLONI WEUSI" tuungane pamoja kudai:

RASIMU alosimamia Judge Warioba irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Mzee wetu arudishwe Kwa Tume AAPISHWE, mukandala arudi kufundisha.

Katiba mpya itawalazimisha viongozi kusema Kweli na kuacha ULAGHAI.

Kuhusu ONGEZEKO Hilo la 23% mlikuwa mnaabudu na kusifu kuwa Anaupiga mwingi'' na ONGEZEKO Hilo mlidai ni kubwa kuliko Nchi yoyote EAC.

CCM ni UGONJWA mbaya sana.
CHADEMA NI KANSA YA DAMU
 
Wakati mama yako anakuzaa,K yake ilikuwa inanuka usaha ndio maana huna akili,nchi hii imepata Uhuru miaka mingi Sana,pia ina rasioimali nyingi kushinda population yake,iweje Hadi sasa mtumishi wa umma analipwa mshahara mdogo ambao haumtishi? Iweje baadhi ya wafanyakazi hawalupwi allowances,e.g walimu? Hivi, watumishi hawana haki ya kulalamika ndani ya nchi Yao iliyo huru? Hivi unajua watumishi ni wavumukivu Sana hasa walimu kwa Aina ya mshahara wanaopokea? Ingekuwa nchi zingine watumishi wangeingia barabarani na mabango,Ila uzalendi wa watumishi wa nchi hii,ndio unasabisha watu kuwatukana watumishi,hasa walimu.
Bila shaka wewe ni Mwalimu, huo mshahara unaopewa unakutosha. Mwalimu hana kazi ya kufanya ya kulipwa mshahara mkubwa. Ukiona mshahara kidogo, acha kazi, hujalazimishwa
 
Kwani nyongeza ya mshahara kwa 23.3% lengo lake lilikuwa kupunguza gap kati ya wale wa kima Cha chini na kima Cha juu Cha mshahara??
Lengo kuwavuta wa kima Cha chini. Au ulitaka waendelee kubaki kwenye 300k??
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae
Payroll/salary slips? Wachambuzi wengine hawa😁
 
Lengo kuwavuta wa kima Cha chini. Au ulitaka waendelee kubaki kwenye 300k??
Nijibu swali langu Country wide "lengo la nyongeza Kwenye mishahara ni kupunguza gap au mishahara inaongezwa kwa sababu za gharama ya Maisha kupanda?

Na kama lengo ni kupunguza gap kwa nini?? Viongozi waandamizi serikalini wasipunguziwe hiyo mishahara yao ambayo kimsingi haina kazi maana Kila kitu wanahudumiwa na Kodi za wananchi kuanzia usafiri hadi chakula
 
Kwa hiyo Mwalimu shule ya msingi kasinge, unataka mshahara wako ulingane na Raisi
Kuelekea kuandika KATIBA mpya, tunataka viongozi wa KISIASA mf Rais na Wabunge walipwe kiduchu Ili kuzuia wimbi la Wataalamu kukimbilia Vyeo vya kisiasa.

Uingereza Kwa mfano Nchi ya kibepari, mshahara wa mbunge ni chini sana, kuliko watumishi wenye taaluma Serikalini.

Wazalendo tu ndo wagombee vyeo vya kisiasa, wengine wafanye KAZI.
 
watumishi wasiwe na wasiwasi hela ipo nyingi watapata, trion 1 na bilion mia tano tisini ukigawa kwa idadi ya watumishi wa umma laki sita unapata kwa wastani Kila mtumishi anapata ongezeko la laki mbili
 
Bahati mbaya mm Sina Chama.

Ninawakilisha mawazo yakundi kubwa sana la wananchi wasio wanachama wa Vyama vya Siasa Walio zaidi ya 50 million.
Unacho na una upande kabisa. Hakuna mtu akaichukia CHADEMA na asiwe na Chama na hakuna mtu aichukie CCM na asipende chama fulani.
 
Swali gani wewe?
Mtu anayepata 300000 kwa mwezi ni sawa na mtu anayepata 800000??
inategemea na kazi gani anafanya, muda anaotumia katika hiyo kazi, mahali anapofanyia, aina ya teknolojia inayotumika na kazi hiyo inahitaji uwekezaji kiasi gani katika viwango vya elimu, na hatari ya kufanya hiyo kazi ni kwa kiasi gani. Suala siyo tu kulinganisha kiasi cha malipo anayopokea.
 
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae

Hizo salary slip ziko wapi?
 
Raisi asipokula vyema na watumishi atatamani mitandao ya kijamii ifungwe kama jiwe alivyo tamani
 
Back
Top Bottom