Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Subirini mishahara bado haijatoka
 
Haki haiombwi,unayemtetea anafahamu uliyoyawasilisha hapa?Kuna nini leo mbona nyuzi za nyongeza ya mishahara zinapandishwa kwa kasi?

Kuhusu watumishi kuridhika kwa wanachopew,umewahi kufikiri wamevumilia vingapi huku wakifanikisha agenda za watawala za miradi ya kimkakati?Kweli mateso ya karai ya zege hayataisha milele.
 
Kwani nyongeza ya mshahara kwa 23.3% lengo lake lilikuwa kupunguza gap kati ya wale wa kima Cha chini na kima Cha juu Cha mshahara??
 
Ni vyema ukaacha kusikiliza habari za mtaani.
Utaaibika bure.
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae
 
CHADEMA NI KANSA YA DAMU
 
Bila shaka wewe ni Mwalimu, huo mshahara unaopewa unakutosha. Mwalimu hana kazi ya kufanya ya kulipwa mshahara mkubwa. Ukiona mshahara kidogo, acha kazi, hujalazimishwa
 
Kwani nyongeza ya mshahara kwa 23.3% lengo lake lilikuwa kupunguza gap kati ya wale wa kima Cha chini na kima Cha juu Cha mshahara??
Lengo kuwavuta wa kima Cha chini. Au ulitaka waendelee kubaki kwenye 300k??
 
Reactions: F4B
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae
Payroll/salary slips? Wachambuzi wengine hawa😁
 
Lengo kuwavuta wa kima Cha chini. Au ulitaka waendelee kubaki kwenye 300k??
Nijibu swali langu Country wide "lengo la nyongeza Kwenye mishahara ni kupunguza gap au mishahara inaongezwa kwa sababu za gharama ya Maisha kupanda?

Na kama lengo ni kupunguza gap kwa nini?? Viongozi waandamizi serikalini wasipunguziwe hiyo mishahara yao ambayo kimsingi haina kazi maana Kila kitu wanahudumiwa na Kodi za wananchi kuanzia usafiri hadi chakula
 
Kwa hiyo Mwalimu shule ya msingi kasinge, unataka mshahara wako ulingane na Raisi
Kuelekea kuandika KATIBA mpya, tunataka viongozi wa KISIASA mf Rais na Wabunge walipwe kiduchu Ili kuzuia wimbi la Wataalamu kukimbilia Vyeo vya kisiasa.

Uingereza Kwa mfano Nchi ya kibepari, mshahara wa mbunge ni chini sana, kuliko watumishi wenye taaluma Serikalini.

Wazalendo tu ndo wagombee vyeo vya kisiasa, wengine wafanye KAZI.
 
watumishi wasiwe na wasiwasi hela ipo nyingi watapata, trion 1 na bilion mia tano tisini ukigawa kwa idadi ya watumishi wa umma laki sita unapata kwa wastani Kila mtumishi anapata ongezeko la laki mbili
 
Bahati mbaya mm Sina Chama.

Ninawakilisha mawazo yakundi kubwa sana la wananchi wasio wanachama wa Vyama vya Siasa Walio zaidi ya 50 million.
Unacho na una upande kabisa. Hakuna mtu akaichukia CHADEMA na asiwe na Chama na hakuna mtu aichukie CCM na asipende chama fulani.
 
Swali gani wewe?
Mtu anayepata 300000 kwa mwezi ni sawa na mtu anayepata 800000??
inategemea na kazi gani anafanya, muda anaotumia katika hiyo kazi, mahali anapofanyia, aina ya teknolojia inayotumika na kazi hiyo inahitaji uwekezaji kiasi gani katika viwango vya elimu, na hatari ya kufanya hiyo kazi ni kwa kiasi gani. Suala siyo tu kulinganisha kiasi cha malipo anayopokea.
 
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae

Hizo salary slip ziko wapi?
 
Raisi asipokula vyema na watumishi atatamani mitandao ya kijamii ifungwe kama jiwe alivyo tamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…