Rais Samia ameanza kufaulu kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia

Kufaulu katika kuirejesha Tanzania katika ramani ya DuniaπŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Yaani huyo mtu alikuwa kama conman tu. Alikuwa anawadanganya hawa watu sana.

Inategemea na watu wenyewe pia, wakiwa wazembe wa kushughulisha ubongo wanaingizwa mkenge tu kiulaini....
 
Kufaulu katika kuirejesha Tanzania katika ramani ya DuniaπŸ’πŸ’πŸ’
View attachment 2128403

Ha ha ha!! Hivi lakini kaongopa?? Si ndivyo ilivyo na inafahamika kote, Afrika hii ufisadi umeshakua kama taaluma, kilichobaki ni kuwarai kama vipi wajipimie tu....maana hata uwachimbie mikwara hawaachi na ndio watazidi kuvimbiwa, kila mtu anafakamia utadhani hamna kesho.
 
Taifa ambalo Rais wake anahimiza ufisadi haliwezi kufua dafu katika maendeleo kama unavyodai katika uzi wako.

Samia ni hopeless inept leader ambae anapaswa kukataliwa na kuzomewa na kila mwenye pumzi.
 
Reactions: Oii
Safi sana mama Samia Suluhu, umekua suluhu kwa mengi...

 
Safi sana mama Samia Suluhu, umekua suluhu kwa mengi...

I don't why she put him in jail in the first place but good to see she corrected the mistake.

mama is showing real leadership. keep it up

 
I don't why she put him in jail in the first place but good to see she corrected the mistake.

mama is showing real leadership. keep it up

View attachment 2139288

Probably was ill-adviced, as a new president you inherit all manner of baggage including some elements from previous regime who would be hell-bent on making your tenure a living nightmare, and will concoct stuff to confuse you, they can present to you "compelling" evidence, you end up allowing such kind of prosecution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…