RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo?
Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya kutogombea 2025, alishakula mema ya nchi. Ni kama nchi ameitumikia vya kutosha, ni bora aachie ngazi maana naona meli inazidi kuzama kama vile haina nahodha.
Tuhuma alizopewa Waziri wa Kilimo serikali imeshindwa kuzikanusha kwa fact hivi kweli kampuni ya Simu ya ITEL ndiyo yakupewa tenda ya kuagiza sukari nje?
Mama tulichobaini ni kwamba ubadhilifu unaofanywa na watendaji wako una baraka zako kwani hatuoni hatua zozote unazochukua zaidi ya kuwahamishahamisha hii nchi kweli imekuwa ya kuhamishahamisha watendaji wa bovu na wabadhilifu kweli.
Mama kweli hapana tunasema hapana, wewe hizo pikipiki zako rudisha tu sisi kwenye chama tumechoka haya maigizo.
====
Pia soma
- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
- Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi
- Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7