Pre GE2025 Rais Samia amechafuka kipindi cha majaribio. Je, tumpe tena mitano au asipewe fomu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401

Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo?

Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya kutogombea 2025, alishakula mema ya nchi. Ni kama nchi ameitumikia vya kutosha, ni bora aachie ngazi maana naona meli inazidi kuzama kama vile haina nahodha.

Tuhuma alizopewa Waziri wa Kilimo serikali imeshindwa kuzikanusha kwa fact hivi kweli kampuni ya Simu ya ITEL ndiyo yakupewa tenda ya kuagiza sukari nje?

Mama tulichobaini ni kwamba ubadhilifu unaofanywa na watendaji wako una baraka zako kwani hatuoni hatua zozote unazochukua zaidi ya kuwahamishahamisha hii nchi kweli imekuwa ya kuhamishahamisha watendaji wa bovu na wabadhilifu kweli.

Mama kweli hapana tunasema hapana, wewe hizo pikipiki zako rudisha tu sisi kwenye chama tumechoka haya maigizo.

====

Pia soma

- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

- Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

- Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7
 
Mama ameapa kupigiwa kura na chawa wake.

Hana taim na kura za Watanzaania
 
Naruhusiwa kulipa ya kwangu 1.5M ili nisiwe miongoni mwa wadaiwa sugu?
 
Hata yeye akijipima nadhani anaona jinsi alivyopwaya. Angekuwa makini basi walau angetuachia katiba bora katika kipindi hiki cha miaka minne.

Badala yake legacy yake itakuwa kuuza mali za nchi na kufungua milango ya ufisadi na wizi.
 
Tunamuomba tuko chini ya miguu yake, Mama tunakuomba Mama yetu. Huo Uraisi ulioupata kupitia Katiba, inatosha.
Ulivyoviuza inatosha πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ na mambo yanayoendelea please INATOSHA. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Tutamheshimu kama rais msatahafu ,ushauri wangu apumzike ,sio kipindi cha ccm haki,ataki zake kama rais mstahafu ,akale maisha basi , haki zake zinazingatiwa kikatiba ,hata katiba mpya ikija leo haki zake ziko palepale ,hakuna sheria inapanda sheria iliyotangulia ,haipo
 
ANAUPIGA MWINGI
 
Imagine Raisi anawambia wananchi hawasikii, kwa kweli watanzania Kuna namna tumemkosea Mungu na hili pigo hatutalisahau litawapata mpaka watoto wetu na wajukuu zao.
Mhe: Samia Tunakuomba 2025 Tunakuomba kapumzike Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…