Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah, nimemuogopa sana Samia, somehow, anawashauri sahihi, naanza kuamini.
Hii Wizara ni nyeti na haihitaji SIASA za kina Lucas Mwashambwa za standard 4 failures ,Afya ni serious business.. isiponigusa mm kwa uwezo wangu wa kifedha, utamkuga babu yako wa kule kizimkazi.
Sikuwahi kukubali uwezo wa Ummy kwa term zote alizofanya MoH. She is just a good orator.
Kama tupo serious Ummy na CEO wa NHIF pamoja na Mfamasia Mkuu wa Serikali na advocates wote wa kitita cha NHIF. Hii timu ichunguzwe na ifanyiwe special audit, kuna mengi behind the scene, kuna pollution imefanyika kwenye Afya.
I wonder sana huyu jamaa alipataje nafasi ya U CEO kwenye shirika kubwa kama lile lenye uhai wa watanzania.
Alifikaje hapo ? Very incapable
Private Hospitals have lots of investment kwenye Afya, na kuachana na huduma za NHIF, it is because of losses wanazopata, huyu CEO na waziri wao , walikuwa wanaenda kuwabembeleza kisiasa na kuficha uhalisia kwenye
public, but the truth hizo hospitals hawatak kabisa hiyo kitu NHIF’…… to
Them ni uhuni na shirika lilikuwa linasimamiwa na incapable
Zimepigwa siasa nyingi sana kuanzia kwa Ummy Hadi kwa CEO wa NHIF, na timu ya Wizara , siasa za udanganyifu na ulaghai kwa kumdeceive Rais Samia… but finally she has realized and seen the truth .
Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.
NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame !
Congratulations Rais Samia, inawezekana tutakuelewa along the way , ninaanza kupata imani na washauri wako.Hizi taasisi zinazodili na Afya za binadamu , wanafanya sana siasa kuliko uhalisia, kuwe na special audit kutokea ikulu…. Kuchunguza wanachokitangaza kina uhalisia gani.?
Kwa kuhitimisha, bado ninatatizwa na namna ya kupata ma-CEO , tunahitaji mchakato huru na competitive wa kupata hawa wakuu wa taasisi. je mliona mchakato wa kumpata CEO wa WHO AFRICA region ulivyoendeshwa? That is how it should be .
competition should be a default mechanism ya kupata wakuu wa taasisi. Dunia ipo mbali sana…
tuachane old ways of doing things
Megalodon, Otawwa, Canada