Rais Samia amedhamiria, Reforms ya kibabe kwenye Afya

Rais Samia amedhamiria, Reforms ya kibabe kwenye Afya

Universal health care imekuwa mwiba, sio bongo tu hata huko kwa matajiri, huduma za afya kwa jamii zinaumiza watu vichwa.

Kuna makundi muhimu ya kuangalia, TOTO AFYA ni lazima, huwezi kusema unasimamia afya ya jamii huku afya ya mtoto haina guarantee.

FREE/FAIR HEALTHCARE kwa wazee, ni kundi muhimu sana, watu walishafanya kazi, wamechoka, wanahitaji serikali yao iwajali. Huwezi kuwa-overlook wazee.

Serikali itoe ruzuku kwa ajili ya makundi yote, afya iwe kipaumbele, packages ziwe affordable hasa kwa wenye ajira zisizo rasmi.

Health facilities zilipwe kwa wakati, private health facility inachukua mikopo, imewekeza, wewe hutaki kulipa kwa wakati, wao wajiendeshe vipi.
 
Jenista muhagama hapana, hii wizara inahitaji professional doctor kabisa, sio ku rotate mawazir wale wale, efficiency haito tokea
Doctor wa Nini? Kuna upasuaji? Kuna kusafisha vidonda? Kuna matibabu? , hao watu ndio sifuri kabisa kwenye Administrative. Tulishawahi kuwa nao and are the most failures kwenye wizara hiyo

The positon is pure administrative , it does not need anything like a doctor or nurse or other cadre. It needs a critical thinker with records kwenye policy and economics background , with strong management skills .

Ni sahih kabisa bado Jenister sio better replacement ya Ummy, there is no difference Kati ya ummmy na Jenista…. Ni walewale but Ummy kuna namna alijiwekea miraja wizarani; hafai just as asivofaa Jenista

Yes , lakini kukiwa na wait sahihi kwenye positions , things zinakuwa sawa. Tatizo kubwa la Africa ni tupo kisiasa hata kwenye mambo ya msingi
 
Doctor wa Nini? Kuna upasuaji? Kuna kusafisha vidonda? Kuna matibabu? , hao watu ndio sifuri kabisa kwenye Administrative. Tulishawahi kuwa nao and are the most failures kwenye wizara hiyo

The positon is pure administrative , it does not need anything like a doctor or nurse or other cadre. It needs a critical thinker with records kwenye policy and economics background , with strong management skills .

Ni sahih kabisa bado Jenister sio better replacement ya Ummy, there is no difference Kati ya ummmy na Jenista…. Ni walewale but Ummy kuna namna alijiwekea miraja wizarani; hafai just as asivofaa Jenista
You didnt understand why doctor, we need someone ambae amekaa kwenye sector ya afya for a while, it admistrative but also very technical na nyeti. Jenista ni overal regular wazir but not efficient, hizi wizara nyeti hazihitaji regular wazir they need wazir mwenye knowledge atleast na wizara husika if not uzoefu. Matokeo ya kupeleka mawaziri regular result hakuna mabadiliko kwenye wizara husika, ata rithi matatizo aliyo yakuta na atayaacha
 
Wizara ya Afya kuna cadre tofauti, why necessary awe doctor ?

Anafanya prescribing, surgery ?

The position haihitaji hao, kama ni suala la technical , chini ya waziri kuna kurugenzi ya tiba kutakuwa na hao watu technically , kuna watu maabara watamsaidia technically , kuna nursing department, watamsaidia technically…: kuna hao watu wa madawa..:: watamsaidia technically

Waziri ana mambo mengi ya administrative, akiwa technical itasaidia
Nini?

The position needs a candidate with strong management skills with track records in economics , and social responsibility. The position is all about management and leadership…. That is all

We had a technical Minister , Dorothy, the worst Minister kwenye hiyo wizara , she had what it called micromanagement instead of being a leader to show the way

There is nothing technical ambacho minister atatakiwa kufanya, and ni kwamba hao watu huwa hawakumbukigi chochote….: a good doctor’or
Nurse ni yule aliye Hospital…, that is technical
 
Dorothy sucked kwenye hiyo wizara that i agree, i mean sio lazima awe doctor, kada ya afya ni pana na ina watu wengi.

Suala la kusema waziri atafanya adminstrative issues only that wrong, awe na uelewa of how hiyo wizara ina function. Yes anaweza kuwa na technical team nzuri chini yake but if haelewi why or ana treat hiyo position kama alipo toka hatutopata changes zozote

We need new faces ,not only new faces but with knowledge ya wizara hii. Hizi wizara nyeti hazihitaji career politicians
 
SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.

Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa

Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah, nimemuogopa sana Samia, somehow, anawashauri sahihi, naanza kuamini.

Hii Wizara ni nyeti na haihitaji SIASA za kina Lucas Mwashambwa za standard 4 failures ,Afya ni serious business.. isiponigusa mm kwa uwezo wangu wa kifedha, utamkuga babu yako wa kule kizimkazi.

Sikuwahi kukubali uwezo wa Ummy kwa term zote alizofanya MoH. She is just a good orator.

Kama tupo serious Ummy na CEO wa NHIF pamoja na Mfamasia Mkuu wa Serikali na advocates wote wa kitita cha NHIF. Hii timu ichunguzwe na ifanyiwe special audit, kuna mengi behind the scene, kuna pollution imefanyika kwenye Afya.

I wonder sana huyu jamaa alipataje nafasi ya U CEO kwenye shirika kubwa kama lile lenye uhai wa watanzania.

Alifikaje hapo ? Very incapable

Private Hospitals have lots of investment kwenye Afya, na kuachana na huduma za NHIF, it is because of losses wanazopata, huyu CEO na waziri wao , walikuwa wanaenda kuwabembeleza kisiasa na kuficha uhalisia kwenye
public, but the truth hizo hospitals hawatak kabisa hiyo kitu NHIF’…… to
Them ni uhuni na shirika lilikuwa linasimamiwa na incapable

Zimepigwa siasa nyingi sana kuanzia kwa Ummy Hadi kwa CEO wa NHIF, na timu ya Wizara , siasa za udanganyifu na ulaghai kwa kumdeceive Rais Samia… but finally she has realized and seen the truth .

Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.

NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame !

Congratulations Rais Samia, inawezekana tutakuelewa along the way , ninaanza kupata imani na washauri wako.Hizi taasisi zinazodili na Afya za binadamu , wanafanya sana siasa kuliko uhalisia, kuwe na special audit kutokea ikulu…. Kuchunguza wanachokitangaza kina uhalisia gani.?

Kwa kuhitimisha, bado ninatatizwa na namna ya kupata ma-CEO , tunahitaji mchakato huru na competitive wa kupata hawa wakuu wa taasisi. je mliona mchakato wa kumpata CEO wa WHO AFRICA region ulivyoendeshwa? That is how it should be .

competition should be a default mechanism ya kupata wakuu wa taasisi. Dunia ipo mbali sana…

tuachane old ways of doing things

Megalodon, Otawwa, Canada
Wewe bana u meleta andiko refu lisilo na maana yoyote

Unaweza kutuambia nhif ni kwa Nini iligirisika??

Unaweza kutuambia ripoti ya cag juu ya uchafu wa nhif kwa Nini raisi alikaa kimya??

Alafu anatokea mpumbavu mmoja anasifia eti "reform"

Yaani watu wanaiba raisi anawaangalia mpaka wanaiharobu nhif ili baadaye rais aje afanye reform mpate kumsifia

Sidhani kama aliyeandika huu upuuzi ana akili timamu
 
kama si kwa nafasi aliyopendekezwa kule WHO Afrika,Faustine Ndugulile angefaa sana hapa,
Naye kimeo tu.
Alivyopewa Wizara ya mawasiliano ndiyo ikawa mwanzo wa kupanda kwa mabando, mi sina hamu naye kabisa.
 
Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.

NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame
Ummy pahala pake ni Lupango.
Na asiyemuelewa Rais Samia anachojaribu kufanya ili kulikomboa Taifa hili la Tanzania ni Mjinga. Viongozi wa Tanzania walizoea kuishi kimazoea, na ndio maana huko nyuma ukishachaguliwa kuwa waziri huondoki mpaka vipindi viwili viishe. Hili ni lazima lirekebishwe.
 
Back
Top Bottom