Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Huyo Jenister Mhagama mwalimu wa shule ya msingi ndiyo aongoze wizara ya afya kweli? HAPANA AISEE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaLilikuwa ni kosa kubwa chini ya Ummy kuondoa Toto Afya. It is such a shame chini ya Waziri mwanamke anaenda kuondoa toto afya kwa logeai cha kusema inakula gharama za mfuko ;
Magari ya mashangingi , unnecessary hayali kodi zetu, Tanzania inaviongozi wapuuzi sana
Nimewaza sana kuhusu Jenista kupewa wizara nyeti hivi, Mungu anisamehe nikisema sijawahi kumuelewa huyu waziri.
Pendekezeni majina ya Watu ambao mnaona wanafaa kuteuliwa katika nafasi hii ya Waziri wa Afya. Tajeni Majina yao ili kumsaidia Rais kwenye suala hili, tusiendelee kuwategemea Tiss peke yao katika kupendekeza majina ya Wateule kwa nafasi mbalimbali za Uongozi wa nchi kwani imedhihirika wazi kwamba jukunu Hilo limewashinda. JF pia chanzo kizuri cha Rais wa nchi kuweza kupata taarifa sahihi za yeye kuweza kuzifanyia Maamuzi (OSINT),Jenista muhagama hapana, hii wizara inahitaji professional doctor kabisa, sio ku rotate mawazir wale wale, efficiency haito tokea
kama si kwa nafasi aliyopendekezwa kule WHO Afrika,Faustine Ndugulile angefaa sana hapa,Jenista muhagama hapana, hii wizara inahitaji professional doctor kabisa, sio ku rotate mawazir wale wale, efficiency haito tokea
Hii nayo ni point, basi tu siasa zimeingilia wizara za wataalam. Kuna wizara ni technical hazihitaji politicians kabisa, sijui mamlaka ya teuzi watajifunza linikama si kwa nafasi aliyopendekezwa kule WHO Afrika,Faustine Ndugulile angefaa sana hapa,
Kumbe siku hizi hapa JamiiForums kila Member akiandika post yake akimaliza kwa chini anatakiwa aandike jina lake na mahala alipo ( eneo na nchi ) pia?SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah, nimemuogopa sana Samia, somehow, anawashauri sahihi, naanza kuamini.
Hii Wizara ni nyeti na haihitaji SIASA za kina Lucas Mwashambwa za standard 4 failures ,Afya ni serious business.. isiponigusa mm kwa uwezo wangu wa kifedha, utamkuga babu yako wa kule kizimkazi.
Sikuwahi kukubali uwezo wa Ummy kwa term zote alizofanya MoH. She is just a good orator.
Kama tupo serious Ummy na CEO wa NHIF pamoja na Mfamasia Mkuu wa Serikali na advocates wote wa kitita cha NHIF. Hii timu ichunguzwe na ifanyiwe special audit, kuna mengi behind the scene, kuna pollution imefanyika kwenye Afya.
I wonder sana huyu jamaa alipataje nafasi ya U CEO kwenye shirika kubwa kama lile lenye uhai wa watanzania.
Alifikaje hapo ? Very incapable
Private Hospitals have lots of investment kwenye Afya, na kuachana na huduma za NHIF, it is because of losses wanazopata, huyu CEO na waziri wao , walikuwa wanaenda kuwabembeleza kisiasa na kuficha uhalisia kwenye
public, but the truth hizo hospitals hawatak kabisa hiyo kitu NHIF’…… to
Them ni uhuni na shirika lilikuwa linasimamiwa na incapable
Zimepigwa siasa nyingi sana kuanzia kwa Ummy Hadi kwa CEO wa NHIF, na timu ya Wizara , siasa za udanganyifu na ulaghai kwa kumdeceive Rais Samia… but finally she has realized and seen the truth .
Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.
NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame !
Congratulations Rais Samia, inawezekana tutakuelewa along the way , ninaanza kupata imani na washauri wako.Hizi taasisi zinazodili na Afya za binadamu , wanafanya sana siasa kuliko uhalisia, kuwe na special audit kutokea ikulu…. Kuchunguza wanachokitangaza kina uhalisia gani.?
Kwa kuhitimisha, bado ninatatizwa na namna ya kupata ma-CEO , tunahitaji mchakato huru na competitive wa kupata hawa wakuu wa taasisi. je mliona mchakato wa kumpata CEO wa WHO AFRICA region ulivyoendeshwa? That is how it should be .
competition should be a default mechanism ya kupata wakuu wa taasisi. Dunia ipo mbali sana…
tuachane old ways of doing things
Megalodon, Otawwa, Canada
Nchi gum sana una mpelekaje uyu Jenister Afya , hakuna jipya, alafu umwachaje kwenye nafasi waziri wa mambo ya ndani? MUNGU YUPO KAZIN SASA.Jenister Mhagama siye yule waziri wa kikokotoo??
Hawezi fanya ujinga wa kucheza dance ya Machadema,nyie mkileta za kuleta mtacharazwa bakora za kutosha.Kama amexamilia amutengue IGP na Kamanda wa mafunzo wa jeshi la polisi kwa kushindwa kumanage
😂😂😂😂😂😂😁Kumbe siku hizi hapa JamiiForums kila Member akiandika post yake akimaliza kwa chini anatakiwa aandike jina lake na mahala alipo ( eneo na nchi ) pia?
GENTAMYCINE, Nachingwea, Tanzania
Naona sasa ni mwendo wa Kututangazia wana JamiiForums uliko hivyo nasi tumeamua kwenda na mwendo huo huo tu Kudadadeki.😂😂😂😂😂😂😁
ChoiceVariable,Orkesimet Simanjiro,Tanzania
Usisahau kuweka namba ya simu unaweza pigiwa Kwa Ajili ya uteuzi 😂😂Naona sasa ni mwendo wa Kututangazia wana JamiiForums uliko hivyo nasi tumeamua kwenda na mwendo huo huo tu Kudadadeki.
GENTAMYCINE, Nachingwea Tanzania.
Yanikute ya yaliyowakuta Wapinzani juzi?Usisahau kuweka namba ya simu unaweza pigiwa Kwa Ajili ya uteuzi 😂😂
Jipe muda (kama miezi sita) halafu njoo tena kuupitia huu uzi wako huenda utakuja kumkumbuka tena Ummy.SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah, nimemuogopa sana Samia, somehow, anawashauri sahihi, naanza kuamini.
Hii Wizara ni nyeti na haihitaji SIASA za kina Lucas Mwashambwa za standard 4 failures ,Afya ni serious business.. isiponigusa mm kwa uwezo wangu wa kifedha, utamkuga babu yako wa kule kizimkazi.
Sikuwahi kukubali uwezo wa Ummy kwa term zote alizofanya MoH. She is just a good orator.
Kama tupo serious Ummy na CEO wa NHIF pamoja na Mfamasia Mkuu wa Serikali na advocates wote wa kitita cha NHIF. Hii timu ichunguzwe na ifanyiwe special audit, kuna mengi behind the scene, kuna pollution imefanyika kwenye Afya.
I wonder sana huyu jamaa alipataje nafasi ya U CEO kwenye shirika kubwa kama lile lenye uhai wa watanzania.
Alifikaje hapo ? Very incapable
Private Hospitals have lots of investment kwenye Afya, na kuachana na huduma za NHIF, it is because of losses wanazopata, huyu CEO na waziri wao , walikuwa wanaenda kuwabembeleza kisiasa na kuficha uhalisia kwenye
public, but the truth hizo hospitals hawatak kabisa hiyo kitu NHIF’…… to
Them ni uhuni na shirika lilikuwa linasimamiwa na incapable
Zimepigwa siasa nyingi sana kuanzia kwa Ummy Hadi kwa CEO wa NHIF, na timu ya Wizara , siasa za udanganyifu na ulaghai kwa kumdeceive Rais Samia… but finally she has realized and seen the truth .
Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.
NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame !
Congratulations Rais Samia, inawezekana tutakuelewa along the way , ninaanza kupata imani na washauri wako.Hizi taasisi zinazodili na Afya za binadamu , wanafanya sana siasa kuliko uhalisia, kuwe na special audit kutokea ikulu…. Kuchunguza wanachokitangaza kina uhalisia gani.?
Kwa kuhitimisha, bado ninatatizwa na namna ya kupata ma-CEO , tunahitaji mchakato huru na competitive wa kupata hawa wakuu wa taasisi. je mliona mchakato wa kumpata CEO wa WHO AFRICA region ulivyoendeshwa? That is how it should be .
competition should be a default mechanism ya kupata wakuu wa taasisi. Dunia ipo mbali sana…
tuachane old ways of doing things
Megalodon, Otawwa, Canada
Hii nchi mtawalaumu tu watu, wakati tatizo ni mfumo mzima, mtendaji mkuu PS, si amebaki?? Huyo mama wa ngekewa aliypelekwa huko ana nini cha ziada?? Ndio maaana kila siku ni panga pangua tu lakini hakuna la maana.SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah, nimemuogopa sana Samia, somehow, anawashauri sahihi, naanza kuamini.
Hii Wizara ni nyeti na haihitaji SIASA za kina Lucas Mwashambwa za standard 4 failures ,Afya ni serious business.. isiponigusa mm kwa uwezo wangu wa kifedha, utamkuga babu yako wa kule kizimkazi.
Sikuwahi kukubali uwezo wa Ummy kwa term zote alizofanya MoH. She is just a good orator.
Kama tupo serious Ummy na CEO wa NHIF pamoja na Mfamasia Mkuu wa Serikali na advocates wote wa kitita cha NHIF. Hii timu ichunguzwe na ifanyiwe special audit, kuna mengi behind the scene, kuna pollution imefanyika kwenye Afya.
I wonder sana huyu jamaa alipataje nafasi ya U CEO kwenye shirika kubwa kama lile lenye uhai wa watanzania.
Alifikaje hapo ? Very incapable
Private Hospitals have lots of investment kwenye Afya, na kuachana na huduma za NHIF, it is because of losses wanazopata, huyu CEO na waziri wao , walikuwa wanaenda kuwabembeleza kisiasa na kuficha uhalisia kwenye
public, but the truth hizo hospitals hawatak kabisa hiyo kitu NHIF’…… to
Them ni uhuni na shirika lilikuwa linasimamiwa na incapable
Zimepigwa siasa nyingi sana kuanzia kwa Ummy Hadi kwa CEO wa NHIF, na timu ya Wizara , siasa za udanganyifu na ulaghai kwa kumdeceive Rais Samia… but finally she has realized and seen the truth .
Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.
NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame !
Congratulations Rais Samia, inawezekana tutakuelewa along the way , ninaanza kupata imani na washauri wako.Hizi taasisi zinazodili na Afya za binadamu , wanafanya sana siasa kuliko uhalisia, kuwe na special audit kutokea ikulu…. Kuchunguza wanachokitangaza kina uhalisia gani.?
Kwa kuhitimisha, bado ninatatizwa na namna ya kupata ma-CEO , tunahitaji mchakato huru na competitive wa kupata hawa wakuu wa taasisi. je mliona mchakato wa kumpata CEO wa WHO AFRICA region ulivyoendeshwa? That is how it should be .
competition should be a default mechanism ya kupata wakuu wa taasisi. Dunia ipo mbali sana…
tuachane old ways of doing things
Megalodon, Otawwa, Canada
Kuna jembe letu huyu mama yupo vzr Dkt Gwajima D apewe wizara hii ya afya kuna mchwa upo pale NHIF tunakosa huduma nzur wao wanakula hela zetuPendekezeni majina ya Watu ambao mnaona wanafaa kuteuliwa katika nafasi hii ya Waziri wa Afya. Tajeni Majina yao ili kumsaidia Rais kwenye suala hili, tusiendelee kuwategemea Tiss peke yao katika kupendekeza majina ya Wateule kwa nafasi mbalimbali za Uongozi wa nchi kwani imedhihirika wazi kwamba jukunu Hilo limewashinda. JF pia chanzo kizuri cha Rais wa nchi kuweza kupata taarifa sahihi za yeye kuweza kuzifanyia Maamuzi (OSINT),
Hapa nakupinga maana naona IGP na Kamanda wamefanikiwa kwa asilimia 100Kama amexamilia amutengue IGP na Kamanda wa mafunzo wa jeshi la polisi kwa kushindwa kumanage
Bila kuondokana na mtindo wa kuteua Mawaziri kutoka Bungeni hatutafika popoteSOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah, nimemuogopa sana Samia, somehow, anawashauri sahihi, naanza kuamini.
Hii Wizara ni nyeti na haihitaji SIASA za kina Lucas Mwashambwa za standard 4 failures ,Afya ni serious business.. isiponigusa mm kwa uwezo wangu wa kifedha, utamkuga babu yako wa kule kizimkazi.
Sikuwahi kukubali uwezo wa Ummy kwa term zote alizofanya MoH. She is just a good orator.
Kama tupo serious Ummy na CEO wa NHIF pamoja na Mfamasia Mkuu wa Serikali na advocates wote wa kitita cha NHIF. Hii timu ichunguzwe na ifanyiwe special audit, kuna mengi behind the scene, kuna pollution imefanyika kwenye Afya.
I wonder sana huyu jamaa alipataje nafasi ya U CEO kwenye shirika kubwa kama lile lenye uhai wa watanzania.
Alifikaje hapo ? Very incapable
Private Hospitals have lots of investment kwenye Afya, na kuachana na huduma za NHIF, it is because of losses wanazopata, huyu CEO na waziri wao , walikuwa wanaenda kuwabembeleza kisiasa na kuficha uhalisia kwenye
public, but the truth hizo hospitals hawatak kabisa hiyo kitu NHIF’…… to
Them ni uhuni na shirika lilikuwa linasimamiwa na incapable
Zimepigwa siasa nyingi sana kuanzia kwa Ummy Hadi kwa CEO wa NHIF, na timu ya Wizara , siasa za udanganyifu na ulaghai kwa kumdeceive Rais Samia… but finally she has realized and seen the truth .
Universal health coverage chini ya Ummy, na CEO wa NHIF ni SCAM, review ifanyike na mapitio mengine.
NHIF has covered only 13% of the total population in the year ended 2022. It is such a shame !
Congratulations Rais Samia, inawezekana tutakuelewa along the way , ninaanza kupata imani na washauri wako.Hizi taasisi zinazodili na Afya za binadamu , wanafanya sana siasa kuliko uhalisia, kuwe na special audit kutokea ikulu…. Kuchunguza wanachokitangaza kina uhalisia gani.?
Kwa kuhitimisha, bado ninatatizwa na namna ya kupata ma-CEO , tunahitaji mchakato huru na competitive wa kupata hawa wakuu wa taasisi. je mliona mchakato wa kumpata CEO wa WHO AFRICA region ulivyoendeshwa? That is how it should be .
competition should be a default mechanism ya kupata wakuu wa taasisi. Dunia ipo mbali sana…
tuachane old ways of doing things
Megalodon, Otawwa, Canada
Hata tukipendekeza watasikia? Ata tilia maanani? Anyway we have list of qualified individualsPendekezeni majina ya Watu ambao mnaona wanafaa kuteuliwa katika nafasi hii ya Waziri wa Afya. Tajeni Majina yao ili kumsaidia Rais kwenye suala hili, tusiendelee kuwategemea Tiss peke yao katika kupendekeza majina ya Wateule kwa nafasi mbalimbali za Uongozi wa nchi kwani imedhihirika wazi kwamba jukunu Hilo limewashinda. JF pia chanzo kizuri cha Rais wa nchi kuweza kupata taarifa sahihi za yeye kuweza kuzifanyia Maamuzi (OSINT),