ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Universal health care imekuwa mwiba, sio bongo tu hata huko kwa matajiri, huduma za afya kwa jamii zinaumiza watu vichwa.
Kuna makundi muhimu ya kuangalia, TOTO AFYA ni lazima, huwezi kusema unasimamia afya ya jamii huku afya ya mtoto haina guarantee.
FREE/FAIR HEALTHCARE kwa wazee, ni kundi muhimu sana, watu walishafanya kazi, wamechoka, wanahitaji serikali yao iwajali. Huwezi kuwa-overlook wazee.
Serikali itoe ruzuku kwa ajili ya makundi yote, afya iwe kipaumbele, packages ziwe affordable hasa kwa wenye ajira zisizo rasmi.
Health facilities zilipwe kwa wakati, private health facility inachukua mikopo, imewekeza, wewe hutaki kulipa kwa wakati, wao wajiendeshe vipi.