Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.

#CCMImara
#KaziIendelee
Your browser is not able to display this video.
 
Na ndio maana Serikali ya mama hai strugle Kuhusu pesa,pesa ipo yaani na kila sekta inatembea.
 
kuimarisha TU bila kuuona uwekezaji wenyewe ni sawa na kumvisha Pete ya uchumba Binti wa watu Kwa miaka kumi!
Tunataka tuone viwanda vikijengwa ili kupunguza tatizo la ajira na siyo uchawa usio na tija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…