Leo nina machache ya kusema kuhusu Rais Samia na wale wachache waliodhani mwanamke kutoka Zanzibar hataweza.
🔴Walisema demokrasia itazidi kudidimia na kufa kabisa.
✅Leo uhuru wa vyombo vya habari umeimarika. Uhuru wa maoni umeongezeka. Na uhuru wa kufanya siasa hata kwa wapinzani umeongezeka mara dufu. Tanzania inaongeza Afrika Mashariki kwa uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kisiasa.
🔴Walisema miradi ya kimkakati inaenda kufa.
✅Leo miradi yote ya kimkakati inaenda kukamilika kwa asilimia mia na matunda ya mingi ya hii miradi tunaanza kuiona.
🔴Walisema uchumi wa Tanzania utaacha kupungua kwa kasi.
✅Karithi nchi uchumi ukiwa unakua kwa asilimia 4.9 mwaka 2021 leo hii unakua kwa asilimia 5.7 na ina kadiriwa mwaka 2025 utakua kwa asilimia 6.
🔴Walisema Rais Samia kachokwa na wananchi hawamtaki.
✅Rais Samia kaanza ziara kabambe mikoani na maelfu ya wananchi wanajazana kumuona na kumshangilia. Waliokuwa wanasema amechokwa wau kwenye mikutano yao ya hadhara hata watu mia hawafiki.
🔴Walisema Tanzania ina mfumo dume na kamwe mwanamke hawezi kuiongoza kwa mafanikio.
✅Leo Rais Samia anapewa PhD za heshima kedekede kwa namna ambavyo anafanya siasa na kuendesha nchi. Wale wote waliokua wakimkwamisha na kumhujumu wanaanza kujiondosha wenyewe.
🟢Mama yuko kazini. Mama anatenda. Samia mpaka 2030.

Attachments
-
787caa9d-d344-4110-8d95-921ce37ecabe.jpeg82.7 KB · Views: 3 -
d39a3d5b-3223-4b22-83fc-fce673b8fc04.jpeg170.2 KB · Views: 4 -
f17de5dd-a737-4b6a-8a0d-f0ec73b04263.jpeg199.2 KB · Views: 4 -
a89801d7-d5fb-4c55-a6ef-dda525486ccd.jpeg1 MB · Views: 4 -
dc294cda-70c5-4d58-b242-c749eff9a581.jpeg206.5 KB · Views: 3 -
IMG_1055.jpeg797.5 KB · Views: 5 -
487107f9-49c6-46c9-a0eb-f915242247f3.jpeg220.6 KB · Views: 4