2025 Oct 29
Member
- Dec 2, 2025
- 15
- 43
Huwezi kuua watu wote wale halafu unenepe who are you?
Yani atakua ni takatakaMimi nimeshangaa sana, polepole alimpa ushauri mzuri mnoo wa kustaafu kwa heshima, na sasa hiyo nafasi haipo tena maana akitoka kwenye mfumo iwe kwa kifo au kwa kulazimishwa…uzao wake hauna future yoyote Tanganyika, heshima yote ambayo angeipata kma angestaafu kwa kufuata ushauri wa polepole haipo tena.
Nasikia swala la kupumua ni uongo,Siku 90 za kampeni zimemnyonyoa na Leo walikuwa wamejazana kwenye ka chumba tegemea baadhi kuondoka kwa changamoto za upumuaji
Hiyo niliandika kabla hawajatangaza uviko yao ya mchongoNasikia swala la kupumua ni uongo,
Serikali inatengeza mazingira ili makaburi yao ya waliowaua baada ya uchanguzi ije waje wajitetee makaburi ya watu wa COVID 19 na kipindupindu
Kunywa "damu" za watu ni diet ya kutoshaMawazo