Mimi nimeshangaa sana, polepole alimpa ushauri mzuri mnoo wa kustaafu kwa heshima, na sasa hiyo nafasi haipo tena maana akitoka kwenye mfumo iwe kwa kifo au kwa kulazimishwa…uzao wake hauna future yoyote Tanganyika, heshima yote ambayo angeipata kma angestaafu kwa kufuata ushauri wa polepole haipo tena.Wacha yamkute, si aliwasikiliza wahuni? Angemsikiliza polepole na the like. Sasa angejistaafia zake huko kizimkazi akilima karafuu. Labda angekuwa mkuu wa chuo cha Zanzibar akila Bata.
Sasa akitoka hata kwa kufa. Generation yake, itatolewa kwenye mfumo haraka sana.
Damu za maelfu ya vijana aliowaua mercilessly hivyo she is haunted by nightmares and so experiencing lingering sense of dread which drives her to the feeling of impending doom.Wakuu
Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi.
Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo
Kikwete ana umri wa miaka 76, Samia 65Anazeeka kwa speed sana.
Naona shingoni mikunjo ni mikubwa sana na haijifichi tena.
Hata kiganja cha mkono kimesinyaa.
Hii hali ya uzeekaji wa ghafla na wa speed niliishuhudia kwa Kikwete pia wakati wa uapisho wa Samia kule jeshini Dodoma.
Maza yupo kwenye mpango wa kupungua tangu 2022She is not okay.Mungu amsaidie anapaswa aombe msamaha kwa watu waliopoteza ndugu zao oktoba 29,aachie watu waliotekwa,amuachie Tundu Lissu,afanye marekebesho ya katiba na atafute suluhu na wapinzani.Huu muda uliopo ni Mungu ammempa wa marekebisho asiporekebisha kitamkuta kitu kibaya.Kwa kawaida ukitenda kosa na hakuna kilichokukuta unaweza kuona kwamba Mungu haoni kumbe kadri siku zinavyoenda unazidi kumkasirisha Mwenyezi Mungu……..
Hata Daudi alipomchukua mke wa Uria hakuna lilipompata Uria alizikwa maisha yaliendelea mke wa Uria alipata hadi mimba.Ila baadae sana nabii alitumwa kwake kutubu kwake ndipo kulipomuokoa
Nachelea kusema simchukii huyu mama ila asipotubu ataishia pabaya maana watu wanomlilia Mungu usiku na mchana juu ya ndugu zao ni wengi bado ana muda wa kurekebisha palipokosewa
Anao wanasheria wa kiwango cha juu sana. Best advisors money can buy.stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
Waganga wake wamemuambia abaki Tunguu tu huku Tanganyika akija ahakikishe kuwa kabla jua kuzama awe amesharudi Tunguu vinginevyo atakufa.Tunguu hakumfai arudi tu Dodoma
Afunge na pombe amuachie nani?Swaumu inapunguza mwili
Samia zaid ya sharubati na soda hanywi pombe.... mbona mnamchafua madame president!!! Mnatumwa na mabeberu auAfunge na pombe amuachie nani?
wallah lile kumbato lilinitoa chozi 😢Me nikianzaga kumuonea huruma huyu mtu nakumbuka ile siku yake ya uapisho,
anamkimbilia Bwana wake kwa tabasamu kuuubwa na kumbato baada ya kuapishwa! ! ! Like they're so proud of themselves! ! ! I was so shocked!
Nikaamini Evil is real. The Devil is real.
Nafasi ya toba bado anayo: atoke aombe watanzania radhi, akubali sheria ichikue mkondo wake kuleta haki, ashirikiane na vyombo vya sheria kutaja wahusika wote ikiwemo mwanaye Abduli, akubali kunyongwa.
Wakati ananyongwa, akikubali kuwa YESU amekufa kwa ajili yake ana uhakika 100% kuwa baada ya shingo kukatika tu atakuwa na MUNGU mbinguni akihesabiwa mwenye haki kabisa, naye ataishi kwa furaha milele.
Awali alikuwa anapiga mvinyo kidogo wakati wa kula tu lakini sasa anapiga zile ngumu kabisa maana bila hivyo hapati usingizi akifumba macho anapata jinamizi anapiga kelele huku akimtaja Marehemu Mzee Ali Kibao na Mdude Nyagali. Siku nyingine hata hizo hazisaidii inabidi apige skanka.Samia zaid ya sharubati na soda hanywi pombe.... mbona mnamchafua madame president!!! Mnatumwa na mabeberu au
Huyo bibi anakaribia kufa yarabiKikwete ana umri wa miaka 76, Samia 65
Kamuulize Da Ummy Teacher atakupasha habari za huyo bibi na ulabuSamia zaid ya sharubati na soda hanywi pombe.... mbona mnamchafua madame president!!! Mnatumwa na mabeberu au
Anawagopa TFF maana TFF ni muunganiko wa kila kituTunguu hakumfai arudi tu Dodoma
Unafikiri ata ule ujasiri wa kusema " Who Are You" ni akili ya kawaida...ile ilikuwa Konyagi Bro...Awali alikuwa anapiga mvinyo kidogo wakati wa kula tu lakini sasa anapiga zile ngumu kabisa maana bila hivyo hapati usingizi akifumba macho anapata jinamizi anapiga kelele huku akimtaja Marehemu Mzee Ali Kibao na Mdude Nyagali. Siku nyingine hata hizo hazisaidii inabidi apige skanka.