Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
kuna kupungua na kusinyaaAmependeza, unene sio mpango.
kuna kupungua na kusinyaaAmependeza, unene sio mpango.
Mi mwenyewe nilivyomuona tu kwenye picha haya ndo mawazo yaliyonijia...nikasema huyu 30 hatoboiHuyu anakaribia kufa...
Ukirejea nasaha za Dr janabi mtu anayefanya diet mwili huwa unapungua at once na kwa kufuata hatua fulanKukonda si ndio kupungua sana...au
Imagine chawa wakamkimbiza Ethiopia AU ili aende kuaibika....daaah.....mnajudge mwili wa amri jeshi "who are you 🤨
ila kakongoroka vibaya, nimegundua hata chawa wake hawampendi ndo maan wanashadadia aendelee kubaki mpka afe coz ye mwenyewe hajielewi
Unafikiri ukipungua mwili na nuru ys uhai inokosekana. ??? Huyu bibi nuru ya uhai hana kabisaKwa wabongo kitambi ndio afya na pesa nyingi
30???? Huyu mwezi wa sita sijui.....Mi mwenyewe nilivyomuona tu kwenye picha haya ndo mawazo yaliyonijia...nikasema huyu 30 hatoboi
Me nikianzaga kumuonea huruma huyu mtu nakumbuka ile siku yake ya uapisho,stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
Hapa safari imekaribia kinachogomba tarehe tuUnafikiri ukipungua mwili na nuru ys uhai inokosekana. ??? Huyu bibi nuru ya uhai hana kabisa
Hatumuonei huruma, mbona hakuonea huruma ambao watu wao aliamuru wauwawe. Hakuna sympathy kwa mtu kama huyo. Muache achokestress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
Aah wapi swaumu siku 2 tu, kama ni hivyo basi ikifika chungu cha 30 lazima akate moto!Labda ”swaumu”?
😃😃😃Kwa anayopitia hata ingekuwa wewe mkuu ungenenepa?
Hakuna cha nywinywi wala nywinywinywi. Pumbavu😂😂.Wakuu
Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi.
Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo