Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Mi nauliza huyu Mama why hakuishia awamu yake iliyopita ili ale Mema ya Nchi vizuri bila stress kama kikwete.
Yule Kivuruge JK ndiye aling'ang'aniza ili kumuandalia Ridhiwan Kikwete urais huko mbele ya Safari. Alaaniwe JK na uzao wake wote hadi kizazi cha nne.
5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
FB_IMG_1765768878021.jpg
 
Mama mzee kuwa model wa namna hii ni hatari sana na hasa diabetics ndio big deal yani
 
stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
atajua mwenyewe mbwa yule!
 
Tajiri wa Dunia mwenzio kaandika alidhani pesa itampa furaha na kamuunga mkono mtu aliyesema pesa haiwezi kukupa furaha,Mkuu kwa vile huna ukiwa nayo utatamani upewe furaha na Amani ya moyo.
Lakini pia unasikini hauwezi kukupa faraha.
Mtu kuwa na furaha ya moyo haina uhusiano na kuwa na fedha au kuwa masikini.
 
Kuweni makini, hiyo ni mbinu chafu ya kitengo. Amejikondesha ili atie huruma, Watanganyika waanze kumwonea huruma, lakini mtu huyo hajutii chochote. Msiwe wajinga. Ni picha ya kutafuta huruma.
Ni kweli kabisa. Huyu kibibi sio wakuonea huruma kabisa. Siku akikata moto kutakuwa na furaha sana Tanganyika
 
Back
Top Bottom