Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Wacha yamkute, si aliwasikiliza wahuni? Angemsikiliza polepole na the like. Sasa angejistaafia zake huko kizimkazi akilima karafuu. Labda angekuwa mkuu wa chuo cha Zanzibar akila Bata.


Sasa akitoka hata kwa kufa. Generation yake, itatolewa kwenye mfumo haraka sana.
 
Wakuu

Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi.


Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo

Ukimwangalia vizuri shingoni ni kama amevaa sijui hirizi hiyo. Hiki kibibi kinajifanya kuswali lakini kimeshaenda kwa waganga sana tu. Pumbavu zake
 
Tanzania hakuna rais tulie mpigia kura kuna laisi aliewekwa ikulu kupitia makundi ya mauwaji ya ccm yaliyomo jeshini na polisi na uganda
Yupo mpaka 2030 hata kama hukumpigia kura, imekula kwako
 
Kuweni makini, hiyo ni mbinu chafu ya kitengo. Amejikondesha ili atie huruma, Watanganyika waanze kumwonea huruma, lakini mtu huyo hajutii chochote. Msiwe wajinga. Ni picha ya kutafuta huruma.
We ndo umeongea point. Ina maana ikulu hawakujua hiyo picha haijakaa sawa? Imewekwa kimkakati
 
Back
Top Bottom