Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Anachungulia kaburi huyo ..khaaaa..kama jiniAmependeza, unene sio mpango.
Anachungulia kaburi huyo ..khaaaa..kama jiniAmependeza, unene sio mpango.
Nakwambia unaweza ukawa na pesa ila wewe ukawa kama ngazi ili wenzio wanufaike unakuta mke,ndugu na marafiki ndio wanafanyia anasa pesa zako wewe sasa mwili kama mbu.Nuzulati... Hapo kwenye magonjwa hapo weeee kimbembe kweli...
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
All in all nipate hela kwanza mengine tajua hapo hapo dadek 😂😂🤣
Kwa hali iliyopo sasa...there is no way anatakiwa kuendelea kuwa Rais...The Only way ni kuachia Urais mara moja...na awajibike kwa yakiyotikea MO 29.....stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
Eeeeeh bora hv hv tuu..Nakwambia unaweza ukawa na pesa ila wewe ukawa kama ngazi ili wenzio wanufaike unakuta mke,ndugu na marafiki ndio wanafanyia anasa pesa zako wewe sasa mwili kama mbu.
Kagame ni mwembamba ila uso una nuru..ila huyu Uso wake umekosa nuru...ile nafsi ya uhai haipo kabisaHapo bado, kesi ya ICC ikianza kuunguruma atakua kama Kagame..
Chawa ni watu wabaya sanaChawa na wapigaji wanamtumia waendelee kula lakini anaonekana kbs hata hayo madaraka hana hamu nayo
Mkuu kuna utajiri wa Amani na wamateso wote kwa pamoja tunaomba tupate utajiri wa Amani ambao tutaufurahia sio ambao utatutoa machozi na majuto mengi.Eeeeeh bora hv hv tuu..
Ndo mana una kuta mtu tajiri ila furaha hana an mda wote mambo yamevurugika...
Kama ndio hvo hapana sitaki..
Ngoja nisubri pesa zangu za kubeti tu
Kukonda si ndio kupungua sana...auHyo hajapungua Bali kakonda ww huoni hyo ngozi inavyoning'inia shingon?
Sisi kwetu ni furaha..Kagame ni mwembamba ila uso una nuru..ila huyu Uso wake umekosa nuru...ile nafsi ya uhai haipo kabisa
Kuweni makini, hiyo ni mbinu chafu ya kitengo. Amejikondesha ili atie huruma, Watanganyika waanze kumwonea huruma, lakini mtu huyo hajutii chochote. Msiwe wajinga. Ni picha ya kutafuta huruma.Wakuu
Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi.
Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo
Huu unaitwa utajiri wa kuwanufaisha wenzio mi siutakiChawa na wapigaji wanamtumia waendelee kula lakini anaonekana kbs hata hayo madaraka hana hamu nayo
Yarabi jaalia iwe hivyo. AminDuuuu !!!
Bado kidogo sanaaa tutachimba KABURI
Naunga mkono hoja , unene ni uchafuAmependeza, unene sio mpango.
😂😂😂😂😂 halafu sasa ukigundua binadam hatujawahi kuridhika ndo utachoka kabisaa.Kwa kweli hapo naanza kidogo kuelewa somo...🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
Bora amani jamni weeeeeh bora amani naa kuna jambo kaongea kidogo limenistua ...
Bora amani kabisa Bora amani pesa bakini nazo..
Just imagine una pesa ila huna utu 🤣🤣🤣😢🙌🙌🙌🙌