Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Daaah aisee
Mi ni tofauti Pesa kwanza..
Amani ya moyo hapana...
Yaani ni Sawa mtu ana pesa ila ana magonjwa makubwa mwilini yaani hutakiwi kula chumvi wala sukari,mpaka mda wa kulala unapangiwa na kuamka huna furaha na pesa.Amani ya moyo ni Sawa mtu fukara ila ana utajiri wa Afya tele mwilini.Bi mkubwa ni Raisi (japo mimi simtambui)ila sura yake inaonesha hayuko sawa.
 
Mi nauliza huyu Mama why hakuishia awamu yake iliyopita ili ale Mema ya Nchi vizuri bila stress kama kikwete.
Kwanza hakutegemea kama yangetokea ya October 29 lakini hata kama angejua mapema kuachia bado ingekuwa vigumu sana. Mtu asikudanganye, kumiliki madaraka kwenye nchi kama hizi za kwetu ni fursa na ufunguo wa kila kitu kwako, kwa familia, marafiki na wote wanaokuzunguka.
 
Nakwambia vitu vyote tunavoviona vya thamani hugeuka shubiri pale Afya na amani ya kuvitumia inapotetereka.
Em chukulia mfano una pesa ya kula chakula ukipendacho ila dr kakwambia ukigusa hiko chakula ndo bye bye baba jeni 😄
Nipeni pesa jamni...
Nipeni hizo pesaaaaaaa

Hiyo ya kusema sijui usile nini au nini hapa nilipo tu kuna vitu siri.. sio dactari kasema ila tu life imesema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tia helaaaaa mi hizo story za amani ya moyo hapana staki skia
 
Yaani ni Sawa mtu ana pesa ila ana magonjwa makubwa mwilini yaani hutakiwi kula chumvi wala sukari,mpaka mda wa kulala unapangiwa na kuamka huna furaha na pesa.Amani ya moyo ni Sawa mtu fukara ila ana utajiri wa Afya tele mwilini.Bi mkubwa ni Raisi (japo mimi simtambui)ila sura yake inaonesha hayuko sawa.
Nuzulati... Hapo kwenye magonjwa hapo weeee kimbembe kweli...
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
All in all nipate hela kwanza mengine tajua hapo hapo dadek 😂😂🤣
 
Nipeni pesa jamni...
Nipeni hizo pesaaaaaaa

Hiyo ya kusema sijui usile nini au nini hapa nilipo tu kuna vitu siri.. sio dactari kasema ila tu life imesema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tia helaaaaa mi hizo story za amani ya moyo hapana staki skia
Sasa pesa za kukukosesha amani mbona ziko nyingi mkuu, bado hujaitaka pesa kwa kiasi hiko unachofikiri!
Weka utu rehani pesa ziko nnje nnje 😄
 
Tajiri wa Dunia mwenzio kaandika alidhani pesa itampa furaha na kamuunga mkono mtu aliyesema pesa haiwezi kukupa furaha,Mkuu kwa vile huna ukiwa nayo utatamani upewe furaha na Amani ya moyo.
 
Hapo sasa ndo bora tukatane mapanga na amani ikosekane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🫵
Alafu wewe kumbe mgomvi eeeeh.
Mambo ya kuweka utu rehani yanaingiaje hapa 🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣
 
Tajiri wa Dunia mwenzio kaandika alidhani pesa itampa furaha na kamuunga mkono mtu aliyesema pesa haiwezi kukupa furaha,Mkuu kwa vile huna ukiwa nayo utatamani upewe furaha na Amani ya moyo.
Kwa kweli hapo naanza kidogo kuelewa somo...🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏

Bora amani jamni weeeeeh bora amani naa kuna jambo kaongea kidogo limenistua ...
Bora amani kabisa Bora amani pesa bakini nazo..

Just imagine una pesa ila huna utu 🤣🤣🤣😢🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom