Mimi nimeshangaa sana, polepole alimpa ushauri mzuri mnoo wa kustaafu kwa heshima, na sasa hiyo nafasi haipo tena maana akitoka kwenye mfumo iwe kwa kifo au kwa kulazimishwa…uzao wake hauna future yoyote Tanganyika, heshima yote ambayo angeipata kma angestaafu kwa kufuata ushauri wa polepole haipo tena.