Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Nilipoona tu jina la ID nikaacha kusoma Thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau wanalia na wanasikilizwa, ni hatua nzuri ya kuanzia!Kenya Wana katiba mpya na bado wanalia Lia kila Siku na njaa zao
Siyo kosa Wala jinai kumpongeza kiongozi anapofanya vizuri katika utekelezaji wa majukumu yakeNchi masikini ndio zinazoongoza kwa kusifu viongozi wake, wale wenye akili timam wanawakosoa viongozi wao bila uoga...
Najuwa huwezi ukaelewa vyema haya mambo ndugu yangu mwana nyanda za juu kusiniMtu anayelindwa masaa 24 kajitoleaje maisha ?
Mimi naeleza ukweli tuBrother Lucas 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wewe kuwa kunguni, uchawa umepitiliza...
Sijasema natafuta uteuzi Mimi,kazi yangu Ni kuusema ukweliWe jamaa unachokifanya ni kuforce perception yako kwa jamii, hata mi simpingi Mama na ninaona mazuri anayofanya ila uwasilishaji wako umekaa kinjaa sijui niseme kishamba mpaka inakera, hata kama ingekuwa mi ndo unanisifia jibu ambalo ningekupa ni "balance shobo" mwisho wa siku utaonekana unatoa sifa kinafki acha kuforce uteuzi
Sasa ndugu yangu unafikiri uchawa utakusaidia kukutoa kwenye haya maisha fanya kazi kwa bidii na muombe MunguNdugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania.
Ndio maana unaona muda wote akiwa kazini, muda wote yupo kwa wananchi kusikiliza Kero, changamoto na kuzitolea majawabu. Anahangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa shuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati, mahospitalini wagonjwa wanapata matibabu, kukuta wataalamu na kupewa vitanda vya kulalia. Anahangaika na kukosa usingizi ili kila kijana anayemaliza kidato Cha sita apate mkopo wa Elimu ya juu na kutimiza Ndoto zake za kielimu.
Rais wetu tunamuona muda wote yupo kazini ili kuona kuwa watanzania wanapata huduma Bora na kuhudumiwa vizuri, anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa huduma zinasogezwa karibu ya mwananchi, anakosa muda wa kukaa na familia yake ili akutane na kuwashawishi wawekezaji waje kuwekeza Tanzania na hivyo kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana. Anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa anafaidika na jasho lake na siyo kunyonywa na mtu au Taasisi yoyote ile. Ndio maana Leo hii wakulima wanafaidika na jasho lao baada ya Rais wao kuweka mikono yake katika kilimo na kuwafuta machozi ya muda mrefu yaliyokuwa yakibubujika katika mioyo yao.
Ndio maana anaendelea kupita huku na Kule ili kuhakikisha kuwa Taifa letu linapata mwanga wa umeme muda wote na hivyo kuchochea shughuli za kiuchumi na kiuwekezaji. Anakosa hata muda wa kupumzika ili kuhakiksha kuwa watanzania wanapata maji Safi na salama na siyo kutukima maji wanayokunywa wanyama Kama ng'ombe katika madimbwi,ujenzi wa zahanati na vituo vya Afya vinakuwepo na Kuendelea kila mahali walipo watanzania.
Ndio maana kwa juhudi hizi za mh Rais wetu mchapa kazi ndani ya muda mfupi wa uongozi wake tunashuhudia watanzania wakiwa wenye furaha. Tabasamu na matumaini makubwa katika mioyo yao, ndio maana tunaona maendeleo makubwa katika kila eneo,ndio maana Tunaona Tanzania ikiwa inapigiwa mfano na Benki ya Dunia pamoja na shilika la Fedha la kimataifa kwa ukuaji mzuri wa uchumi, ndio maana Tunaona watoto wote wanaofaulu darasa la Saba wanapata nafasi ya kuripoti shuleni kwa wakati mmoja baada ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20.
Ndio maana Tunaona wakulima wakiwa Ni wenye furaha hasa baada ya kupewa mbolea za Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni, ndio maana Tunaona mikopo kwa Elimu ya juu ikiongezeka na wanafunzi wote wenye sifa wanapewa mikopo, ndio maana Tunaona watumishi wa umma wakiongezwa mishahara, kupandishwa madaraja na kuongezwa Nyongeza ya kila mwaka. Ndio maana Tunaona mishahara ikiwahi na kuwahishwa kuliko nchi yoyote Ile Barani Afrika, ndio maana tunaona miradi ya kimkakati Kama bwawa la nyerere pamoja na SGR vikiendelea kwa Kasi ya mwanga, ndio maana tunaona akitoa na kumwaga maelfu ya ajira kwa vijana mitaani, ndio maana tunaona miradi mbalimbali ikiendelea kila Kona ya nchi yetu.
Ndio maana Tunaona mzunguko wa fedha mitaani ukiwa Ni wenye Afya, ndio maana tunaona wawekezaji na watalii wakipishana angani Kama ndege kuja na kuwahi Tanzania ya Rais Samia itiririshayo fursa. Ndio maana Tunaona biashara zikifunguliwa kila Kona ya nchi yetu, ndio maana tunaona mapato yakipanda mpaka Trioni mbili kwa Mwezi, ndio maana tunaona viwango vya furaha vikiongezeka kwa watanzania, ndio maana tunaona vyombo vya habari vikipamba habari njema juu ya maendeleo makubwa yaliyopatikana pamoja na mikakati ya serikali katika kuinua na kuboresha uchumi wetu, Ndio maana tunaona kipato Cha mtanzania kikiboreka na kuleta matumaini.
Hii yote ni kutokana na juhudi kubwa za Rais wetu hodari na mwenye ujasiri katika moyo wake, hii yote ni kutokana na kuchukua maamuzi magumu ya kiuongozi katika Sera na ajenda zenye kuleta matunda kwa Taifa letu. Hii yote Ni kutokana na maono makubwa ya kiuongozi aliyoyabeba Rais wetu katika kifua chake.Ndio maana anaendelea kuungwa mkono na kupewa ushirikiano na watanzania na kuwa Rais na kiongozi wa mfano Barani Afrika.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Ewaaaa👊..simu soon zitaita0742-676627
📌kishamba
Umeweka nomber ya simu ya nini unatafuta uteuzi nenda kasome uchawa haulipi?Ndugu zangu watanzania,

Wewe ni mnyiha mjinga na mpumbavu katika wanyiha wote waliopo duniani.Ndugu zangu watanzania,

Acha mawazo ya kikabila hapa,pia Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo matusi,inatakiwa ulete hoja za kuthibitisha madai yako juu ya ikisemacho.Wewe ni mnyiha mjinga na mpumbavu katika wanyiha wote waliopo duniani.
Mimi na familia yangu nitoe kwenye huo ujinga wenu. Mtu anayelipwa mshahara na kupata huduma zote bure kwa gharama ya kodi zetu amejitolea vipi?Amejitolea kwa watanzania wote
Baada ya kusikia anapitaga jf? Samia sio Magufuri, weka hadi email hakuna atakaye kutafutaNdugu zangu watanzania,