Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuleta Tabasamu na Matumaini katika mioyo ya Watanzania

Hivi muda wa kuandika UHARO huu unautoa wapi??
 
Pambania maisha yako, usijiangaishe na maisha ya waliofanikiwa.
 
Mimi na familia yangu nitoe kwenye huo ujinga wenu. Mtu anayelipwa mshahara na kupata huduma zote bure kwa gharama ya kodi zetu amejitolea vipi?
Unafikiri Kenya walikokuwa wanaandamana kwa ugumu wa maisha na njaa ya chakula hawamlipo mishahara Rais wao? Rais Samia lazima apongezwe kwa juhudi zake kubwa anazozifanya katika kuwatumikia watanzania.
 
Narudia tena mimi na familia yangu tutoe kwenye wanaosaidiwa na rais.
 
Upumbavu umeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…