Rais Samia amekuwa mzito sana wa kufanya maamuzi

Hata Chadema mngeungana wote hamzidi hata asilimia 1 ya watanzania wote. Hiyo ndiyo sauti ya wengi?
 
Anaogopa kuwatumbua hata kama wamepwaya, anaongoza nchi kama nyumba ya ibada, yeye anajua kuwakandamiza wananchi na tozo zake za uzalendo.
Hawezi watumbua ndio waliomuweka madarakani
 
Subirini mtakapochukua serikali mfanye vile inafaa mwaona...jpm anakurupuka kufanya maamuzi, huyu mzito sana kufanya maamuzi. Sasa hamueleweki. Yaonekana kiasi sahihi cha ufanyaji maamuzi ninyi ndio mnacho. Hivyo subirini tu zamu yenu.
 
Chief kila tatizo lina mzizi, tatizo la jeshi la polisi sio Siro...Matatizo ya jeshi la polisi ni matatizo kila taasisi ya nchi hii.... Mzizi huko chini ndio umeleta matawi mabovu na limti lenyewe kuwa hivi lilivyo...kifupi Watanzania wote tunashida maana ni sehemu ya huu mzizi...

Elimu ya hovyo itolewayo shuleni, Uhuru ulipopatikana 1961 tulishindwa kuwa na uelekeo sahihi, Dini fulani kuiteka nchi na kuifanya ni yake matokeo yake ni kifungo cha milele... TUACHE UNAFIKI...
 
 
Kama haumpendi Hama tu nchi shoga yangu, Samia ndio kashakuwa Rais hadi 2030
 
Kama haumpendi Hama tu nchi shoga yangu, Samia ndio kashakuwa Rais hadi 2030
Hili la kumpenda linaanzia Kwenye kitabu cha mwaka 1977 au Kwa kura aliyokuomba na kumpa Kwa kusikiliza sera zake? TaTizo siasa za huko kwetu ni za uswahili na ushabiki usio na masilahi Kwa wananchi Bali Kwa kundi Fulani.
 

Hukutaja majina lakini ni wazi unamnanga mtu fulani! Wale wakubwa wako hawapendi utumiw maneno pupa, papara na kukurupuka, mchakamchaka nk. Kwao yule mwingine hakuwa hivo! [emoji23]

Natumaini hutapata tatizo!
 
Mama anatupeleka siko tuwe makini!
 
Mbona kwenye tozo hakuonyesha huo utulivu na subra?
Wewe mjinga sana
 
Ripoti ya cdm iko wazi, huku jukwaani unakutana na maoni ya watu. Usichanganye chama na maoni ya watu huku jukwaani.
o lenu chadema mnajiona mpo parfect sana hiyo lazima itawakost imagine gaidi limeua askari wanaolinda usalama wetu lakini mnawatukana polisi na kumpongeza gaidi na bado mnalilia haki je haki huwa inaupande mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…