Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

Kisa alisema anasomaga humu basi unamchawiiiiaaaa...
Hata maisha yakuwe magumuje usimsiiiifu mtu ukamfanya kama mungwako alafu nakukumbusha wewe ni wakiume usijisahau ukapitiliza!!!
Sikiliza ndugu yangu. Mimi siandiki humu kama sehemu ya kutafuta maisha au kipato cha aina yoyote ile au kupata hisani.Naandika ukweli naouona pasipo kuhitaji malipo ya aina yoyote ile.
 
Hili ni ling'ombe la maksai yan linasifia upuuzi tu sisi tunateseka watz yeye kusifia kama chiriku tu kila siku hapoi
 
Kabisa na inabidi tuanze kumpa za uso kwa sasa!
Humu watu hawana ujinga na uhayawani kama ulionao wewe kichwani mwako . Ukishindwa hoja na kujenga hoja achana na mahasira na jazba kama mgonjwa wa akili .
 
Hili ni ling'ombe la maksai yan linasifia upuuzi tu sisi tunateseka watz yeye kusifia kama chiriku tu kila siku hapoi
Kama umekaa tu hapo pako pasipo kufanya kazi kwa bidii , juhudi na maarifa utaishia kulalamika na kupiga makelele yako hata angekuja nani kuongoza Taifa letu kama Rais . Fanya kazi na usichague kazi.kama upo sehemu kama nilizopo shika jembe Kalile na fanya kibarua cha aina yoyote ile .mimi sichagui kazi .nafanya kazi yoyote ile iliyo halali mbele za mwenyezi Mungu na isiyo vunja sheria zetu. Mimi hata zege kupandisha juu nafanya pasipo shida wala aibu ,nabeba kila aina ya mzigo kushusha au kupakia kwenye gari pasipo aibu .sasa wewe kaa kwa kubweteka na uendelee kupiga Makele yako pasipo kufanya kazi uone kama chakula kitajileta hapo ulipobweteka kama jiwe.
 
Wewe aliekuambia mim nimekaa kama jiwe ni nani??
 
Ila nikushauri kitu sifia panapostahili .wewe mwenyewe ukweli unaujua wananchi wengi walivyo na hasira na hii sirikali. Wengi wanakuona kama mpga debe ili upate chchte kitu
 
Watanzania wengi wanaridhishwa na kazi kubwa na hatua madhubuti ambazo zimekuwa zikichukuliwa na serikali yao katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.Ndio maana wameendelea kuiunga mkono serikali pamoja na mh Rais.
 
Ongeza bidii,ingawa mama kashaanza kuwashtukia machawa
 
Sikiliza ndugu yangu. Mimi siandiki humu kama sehemu ya kutafuta maisha au kipato cha aina yoyote ile au kupata hisani.Naandika ukweli naouona pasipo kuhitaji malipo ya aina yoyote ile.
Acha unafiki wewe ndoumwite jasiri alotukuka...KWELI?? Utajipendekeza Hadi lini?
Acha kufuru za kishamba bwege wewe
 
Inaonyesha umekaa kama jiwe ukisubiri serikali ikuletee kila kitu hapo ulipojiegesha
Tatizo unafikiri watu wamekaa kama ww fala Unabaki kusifia ugoro tu na minamba ya simu unaweka ili utafutwe ahahhhahh bwege wew mwambie baba ako akupe shamba ukalime
 
Shamba tayari ninalo na ninaendelea kuchapa kazi na siyo kulia lia kama mtoto kama wewe.
 
Afadhali kaka, wewe husahau namba ya simu, kaza buti, utafanikiwa tu.
 
Acha unafiki wewe ndoumwite jasiri alotukuka...KWELI?? Utajipendekeza Hadi lini?
Acha kufuru za kishamba bwege wewe
Ndio Rais Samia ni jasiri ,imara na madhubuti sana ndio maana Taifa limetakalaki kwa amani na utulivu ,huku tukiendelea kupata mafanikio katika kila eneo.
 
WEKA CLIP TUMSIKIE WENYEWE. ACHA MBWEMBWE ZA KICHAWA. WEKA CLIP.
 
Sikiliza ndugu yangu. Mimi siandiki humu kama sehemu ya kutafuta maisha au kipato cha aina yoyote ile au kupata hisani.Naandika ukweli naouona pasipo kuhitaji malipo ya aina yoyote ile.
Kama hivyo ndivyo!
Hiyo namba ya Simu ta nini?
Si ungeandika bila kutaka utafutwe kwa simu ili kupata uteuzi.
Hata sisi tunazo akili tunachanganua mambo kwa mapana yake bila upofu kama huo wako.
 
Hapana mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu. Maana hapa siyo mahali pa kuombea uteuzi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…