Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,697
- 4,914
Laiti ungekua na hata deal ya kuchoma maandazi usingepata muda wa kupiga promo mambo yako ya kishoga hapa boya weweMimi nafanya kazi sana na sijabweteka kama wewe

Kweli Pesa za Dhuruma ni lahanaFuata taratibu na siyo unakurupuka tu kama kunguru.
Dogo naona umejiajiri kwenye uchawaRais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa
Shida ni kwamba hakuna anaemjua bwege huyuDogo naona umejiajiri kwenye uchawa
Njaa itamuuaShida ni kwamba hakuna anaemjua bwege huyu
Ndio wanakujaga kuliwa jicho hivi hivi jitu halijitambui kabisa ***** zakeNjaa itamuua
Nimejiajili kwenye kilimoDogo naona umejiajiri kwenye uchawa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima ya kipekee sana huko nchini Kenya, Ameliheshimisha Taifa letu, ametufanya tutembee kifua mbele na tujivunie utanzania wetu.
Rais samia ameonyesha umuhimu wa kuwa na Rais mwenye akili kubwa,maono makubwa,akili ya uongozi ,utulivu na busara za kiuongozi na upeo mkubwa. Rais samia ameonyesha namna anavyoifahamu nchi yake,ameonyesha namna kila kitu kinachofanyika nchini kipo mkononi mwake,Ameonyesha namna alivyomfuatiliaji wa mambo mbalimbali yanayofanyika nchini ,ameonyesha namna alivyo na mipango imara na madhubuti katika kuwainua vijana kiuchumi.
Akitoa hotuba yake na baadaye kuulizwa maswali ,ameonyesha utulivu na uhodari wa hali juu sana katika kuelezea na kujibu maswali aliyoulizwa mpaka kufikia hatua ukumbi ukawa muda wote unaripuka kwa shangwe,makofi na tabasamu la hali ya juu sana,ametoa hotuba ya kihistoria ikionyesha umuhimu wa serikali kuwekeza fedha ,mipango na mikakati katika kuwainua vijana,ameeleza namna serikali yake ilivyofanya katika kutoa maelfu ya ajira na mikakati yake kwa siku za usoni,ameonyesha namna anavyowawezesha vijana kimtaji na kuwasaidia kusonga mbele.
Ame elezea umuhimu wa serikali kukipa thamani kilimo na kuwekeza vya kutosha ili kuwavutia vijana katika kilimo.Ame elezea kwa kina na kwa ufasaha suala la BBT yaani juu ya kujenga Kesho iliyo bora kwa vijana kupitia kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kuanzia hatua za maandalizi ya mashamba mpaka wakati wa uvunaji,ikiwepo kupima afya ya udongo,matumizi ya mbolea na mbegu nzuri kulingana na eneo husika ,umwagiliaji wa kitaalamu pamoja na uhifadhi wa mazao kwa njia ya kisasa.
Ameelezea mipango ya serikali ya kuwaunganisha na masoko na kuwaondoa wanyonyaji ambao huenda moja kwa moja kwa mkulima,ameelezea uboreshaji wa miundombinu ili mazao yaweze kufika sokoni pasipo shida .ameelezea habari za uchumi wa blue yaani uchumi wa bahari na maziwa ikiwepo uvuvi, usafirishaji,utalii na mambo mengine mengi.
Leo Rais Samia amedhihirisha kwanini watanzania wanamhitaji kwa hali na mali ili aendelee kuwaongoza na kuwatumikia mpaka 2030,ameonyesha uwezo wake mkubwa alio nao kiuongozi. Ametuonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wakuu kwa umakini mkubwa sana ili watupatie heshima kimataifa na siyo kututia aibu kama Taifa na kuonekana wote ni wajinga na tusio na Elimu wala uelewa wa kitu chochote kile.
Imefikia hatua binti mmoja kwa hisia kali sana ameelezea furaha yake ya kuonana ana kwa ana na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania ,maana muda wote alikuwa anamuona kupitia Tv lakini leo ameandika historia isiyosahaulika au kufutika kuonana na Rais bora kabisa barani Afrika na anayeheshimika sana Na wananchi wengi barani Afrika.
Ndugu zangu Watanzania tusije ipoteza hii Tunu na zawadi ya kipekee tuliyopewa na kuinuliwa na mwenyezi Mungu,tunaona namna Rais wetu anavyopendwa na majirani mpaka wanatamani asimalize au kuacha kuzungumza. Tuendelee kumbeba na kumuunga mkono Samia wetu na mama yetu anayetupenda na kutujali sana watanzania,tumeona namna alivyo na mipango mizuri kwetu na alivyo msikivu kwetu watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hata umsifu huyu mashavu kiasi gani mimi nakuona chawa tu sina imani naye. Kasaliti mwendo wa kimapinduzi wa magufuli na ccm. Saa hizi ni kuuza nchi tu na kulea wapigaji. Mfano ni bandari zetu na kila mali asili ya nchi iko hatarini kuuziwa waarabu.Ndugu zangu Watanzania,

Ungekuwa umejiajiri ungekuwa na akili timamu, ila kwakuwa umejiajili sishangai kuyaona haya.Nimejiajili kwenye kilimo
Acha uongo na upotoshaji wako hapa wewe uliyekosa adabu ,akili na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wako na kujikulia tu kama kifaranga kilichoachwa na mama yake. Rais wetu ni mzalendo na ndio maana Rasilimali zetu zimekuwa zikitumika kwa ajili ya manufaa kwetu watanzania. Hakuna kilichouzwa au kutolewa bure kwa mgeni yeyote yule.Hata umsifu huyu mashavu kiasi gani mimi nakuona chawa tu sina imani naye. Kasaliti mwendo wa kimapinduzi wa magufuli na ccm. Saa hizi ni kuuza nchi tu na kulea wapigaji. Mfano ni bandari zetu na kila mali asili ya nchi iko hatarani kuuziwa waarabu.
Sio siri mumeona taarifa ya ukwasi wake kwa marais matajiri afrika. Miaka miwili tu na nusu ana usd bil 4.7 na ni wa saba kwa marais matajiri afrika mwaka huu wa 2023. Kama taarifa ni uongo basi wakanushe.
Umeanza kwa kunitukana lakini wewe ni chawa tu. Taarifa zipo ukweli upo wenye kuelewa wameelewa ila chawa ni wanyonyaji damu wa binadamu wenzao lazima watetea uongozi wa kipigaji.Acha uongo na upotoshaji wako hapa wewe uliyekosa adabu ,akili na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wako na kujikulia tu kama kifaranga kilichoachwa na mama yake. Rais wetu ni mzalendo na ndio maana Rasilimali zetu zimekuwa zikitumika kwa ajili ya manufaa kwetu watanzania. Hakuna kilichouzwa au kutolewa bure kwa mgeni yeyote yule.
Sasa kuna spika hapo? Uwezo wa mtu haujifichi hata kidogo ndugu zangu.Serikali ya Samia ni serikali ya kifisadi,CCM haifai kuwa madarakani
View attachment 2742904
UharoNdugu zangu Watanzania,
Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima ya kipekee sana huko nchini Kenya, Ameliheshimisha Taifa letu, ametufanya tutembee kifua mbele na tujivunie utanzania wetu.
Rais samia ameonyesha umuhimu wa kuwa na Rais mwenye akili kubwa,maono makubwa,akili ya uongozi ,utulivu na busara za kiuongozi na upeo mkubwa. Rais samia ameonyesha namna anavyoifahamu nchi yake,ameonyesha namna kila kitu kinachofanyika nchini kipo mkononi mwake,Ameonyesha namna alivyomfuatiliaji wa mambo mbalimbali yanayofanyika nchini ,ameonyesha namna alivyo na mipango imara na madhubuti katika kuwainua vijana kiuchumi.
Akitoa hotuba yake na baadaye kuulizwa maswali ,ameonyesha utulivu na uhodari wa hali juu sana katika kuelezea na kujibu maswali aliyoulizwa mpaka kufikia hatua ukumbi ukawa muda wote unaripuka kwa shangwe,makofi na tabasamu la hali ya juu sana,ametoa hotuba ya kihistoria ikionyesha umuhimu wa serikali kuwekeza fedha ,mipango na mikakati katika kuwainua vijana,ameeleza namna serikali yake ilivyofanya katika kutoa maelfu ya ajira na mikakati yake kwa siku za usoni,ameonyesha namna anavyowawezesha vijana kimtaji na kuwasaidia kusonga mbele.
Ame elezea umuhimu wa serikali kukipa thamani kilimo na kuwekeza vya kutosha ili kuwavutia vijana katika kilimo.Ame elezea kwa kina na kwa ufasaha suala la BBT yaani juu ya kujenga Kesho iliyo bora kwa vijana kupitia kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kuanzia hatua za maandalizi ya mashamba mpaka wakati wa uvunaji,ikiwepo kupima afya ya udongo,matumizi ya mbolea na mbegu nzuri kulingana na eneo husika ,umwagiliaji wa kitaalamu pamoja na uhifadhi wa mazao kwa njia ya kisasa.
Ameelezea mipango ya serikali ya kuwaunganisha na masoko na kuwaondoa wanyonyaji ambao huenda moja kwa moja kwa mkulima,ameelezea uboreshaji wa miundombinu ili mazao yaweze kufika sokoni pasipo shida .ameelezea habari za uchumi wa blue yaani uchumi wa bahari na maziwa ikiwepo uvuvi, usafirishaji,utalii na mambo mengine mengi.
Leo Rais Samia amedhihirisha kwanini watanzania wanamhitaji kwa hali na mali ili aendelee kuwaongoza na kuwatumikia mpaka 2030,ameonyesha uwezo wake mkubwa alio nao kiuongozi. Ametuonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wakuu kwa umakini mkubwa sana ili watupatie heshima kimataifa na siyo kututia aibu kama Taifa na kuonekana wote ni wajinga na tusio na Elimu wala uelewa wa kitu chochote kile.
Imefikia hatua binti mmoja kwa hisia kali sana ameelezea furaha yake ya kuonana ana kwa ana na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania ,maana muda wote alikuwa anamuona kupitia Tv lakini leo ameandika historia isiyosahaulika au kufutika kuonana na Rais bora kabisa barani Afrika na anayeheshimika sana Na wananchi wengi barani Afrika.
Ndugu zangu Watanzania tusije ipoteza hii Tunu na zawadi ya kipekee tuliyopewa na kuinuliwa na mwenyezi Mungu,tunaona namna Rais wetu anavyopendwa na majirani mpaka wanatamani asimalize au kuacha kuzungumza. Tuendelee kumbeba na kumuunga mkono Samia wetu na mama yetu anayetupenda na kutujali sana watanzania,tumeona namna alivyo na mipango mizuri kwetu na alivyo msikivu kwetu watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mungu chukua hili shetani harakaNdugu zangu Watanzania,

Mungu siyo mwanadamu na hawazi kama mwanadamu na hana akili fupi kama zako na chuki ya kijinga kama yako.Mungu chukua hili shetani haraka