Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

Humu watu hawana ujinga na uhayawani kama ulionao wewe kichwani mwako . Ukishindwa hoja na kujenga hoja achana na mahasira na jazba kama mgonjwa wa akili .
Wewe Lucas mwashambwa ni hayawani uliyestahili kupewa za uso ili Dish likae mahali pale.
Unatuletea upuuzi humu kila uchao.

Nadhani unaishi kwa fadhila za hao uwasifiao bila aibu!
Nchi ambayo upatikanaji wa umeme ni shida.
Upatikanaji wa maji mijini na vijijini shida.
Upatikanaji wa Matibabu ni shida.
Upatikanaji wa vifaa tiba katika hospitali za umma ni shida.
Ubadhirifu umekithiri nchi nzima kuanzia Tamisemi mpaka Ikulu kwa Abdul.
Ajira kwa wasomi na hata kada ya kati ni shida.
Utofauti wa Mishahara kutoka kada za wataalamu na wanasiasa ni kizungumkuti.
Bei za bidhaa zinapanda kila uchao na serikali ipo kimya.
Mafuta ya magari yameanza kulanguliwa huku serikali ikizidi kutukamua kupitia EWURA.
Wakati huo haya yakiwa hivyo....
Samia wenu yuko busy na waarabu kuliko jambo lingine lile.

Halafu unakuja mshambwa mmoja eti Lucas mwashambwa
Duh....

Wewe Mishipa yako ya aibu huenda imeunganishwa na kiungo tofauti cha mwili.na sio ubongo!
 
Ndio Rais Samia ni jasiri ,imara na madhubuti sana ndio maana Taifa limetakalaki kwa amani na utulivu ,huku tukiendelea kupata mafanikio katika kila eneo.
Unajua maana ya Ametukuka?? Au umelewa uchawa mpaka unapitiliza?
Kwani unawinda nafasi gani hasa maana unajimaliza sana...au unataka umakamu prezidenti??
 
Unajua maana ya Ametukuka?? Au umelewa uchawa mpaka unapitiliza?
Kwani unawinda nafasi gani hasa maana unajimaliza sana...au unataka umakamu prezidenti??
Sihitaji cheo chochote kile kwa ajili ya kuandika hapa ndugu yangu.
 
Mimi Kila siku nashangaa sana vile mama anavyopewa sifa kibao kama vile hiyo kazi ni ngumu sana.

Ni kama vile kiziwi, bubu, au kiwete akaliweza jambo fulani tofauti na matarajio ya wengi.

Mimi naona Bora iwe kawaida tu kama wenzake waliopita.
Hakuna Cha maana alichofanya zaidi ya kuendeleza walipoishia watangulizi wake.

Lakini mna haki kusifia,maana hata
Barack Obama aliwashangaza baadhi ya wamarekani baada ya kuwa Rais wa kwanza mwenye rangi ya giza, watu wenye rangi hii tunaonekana duni sana mbele ya mabeberu.

Kuna mawaziri, manaibu mawaziri,
Ma RC, DED, DC.Makatibu wa wizara.
Wote wakiwa na kazi kumrahisishia anayejiita Rais.

Ukienda TPA, TRA sijui wapi kote Kuna wataalamu wenye ujuzi wa kufanya lile na lile, Sasa why my Prezidaa aonekane ni zaidi ya.......
 
Kuna kila dalili kwamba Lolindo na DP World ni madili ya mama Abdul, si kwa nguvu hii kuyatetea !!
 

Wabunge wa Ulaya? Ni lini sisi huwa tunaenda Ulaya kuchunguza mambo yao! Wewe utakuwa ni Kibwetere! Pumbavu!
 
Ukiwa shabiki wa CCM ni hasara tupu,hata shetani anayekupeleka Motoni utamuita malaika wa bwana.
 
Sapoti. Hata mie nilimsikiliza.
 
Nji kuna kabila linaitwa Wamaasai? Naona weye ndugu ni Mkenya una hela z NGO za Kenya umetumwa kutuzuga. You deserve to be caught and shot.
 
Hata yeye akisoma anacheka vibaya anasema hili Zuzu! Ndio mana hupati!
 
Wachochezi hawatakiwi kwaningorongoro kunanichakungania
 
Lucas mwashambwa, Wazazi wako waliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyingine shule.

Wape pole sana.
 
kua CCM inataka moyo! Imagine mleta mada katumia paragraph mbili kumsifu mwenye INJI.
 
Hivi hii nayo ni habari, ya kuleta jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…