Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

Safi sana 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
 
Shamba tayari ninalo na ninaendelea kuchapa kazi na siyo kulia lia kama mtoto kama wewe.
Mm na wew nani analia?? Njaa inakusumbua kila siku haipoi 😀 unalia uku kama bwege tu, kwenda kafanye kazi shambani!! Maaalabuku!!
 
Wabunge wa Ulaya? Ni lini sisi huwa tunaenda Ulaya kuchunguza mambo yao! Wewe utakuwa ni Kibwetere! Pumbavu!
Pumbaf ni yule ambae huwa anaenda huko Ulaya kuomba na kisha akipewa mbakuja huku kuzioba na kumsifia arudi tena kuomba!

Kama hamuwataki Ulaya lskini mnataka pesa zao basi hamna tofauti na Mal*ya.
 
Pumbaf ni yule ambae huwa anaenda huko Ulaya kuomba na kisha akipewa mbakuja huku kuzioba na kumsifia arudi tena kuomba!

Kama hamuwataki Ulaya lskini mnataka pesa zao basi hamna tofauti na Mal*ya.

Wewe huna pesa zako? Kila nchi duniani ina pesa zake!
 
Pumbaf ni yule ambae huwa anaenda huko Ulaya kuomba na kisha akipewa mbakuja huku kuzioba na kumsifia arudi tena kuomba!

Kama hamuwataki Ulaya lskini mnataka pesa zao basi hamna tofauti na Mal*ya.
Acha ushamba ndugu yangu. Hata ulaya wanakuja mara nyingi tu huku Afrika. Tunaishi kwa kutegemeana,ndio maana ukiwa na viwanda utahitaji masoko na ukiwa na malighafi utahitaji viwanda na ikiwa na hela utahitaji vitu na ukiwa na vitu utahitaji hela. Ndio maana Dunia inafanya kazi kwa kushirikiana kwa kuzingatia sheria za ndani za kila nchi pamoja na zile za kimataifa
 
Mm na wew nani analia?? Njaa inakusumbua kila siku haipoi 😀 unalia uku kama bwege tu, kwenda kafanye kazi shambani!! Maaalabuku!!
Hapana ndugu yangu mtanzania mimi sina njaa na siandiki humu jukwaani kwa ajili ya kuganga njaa Tumboni mwangu. Mimi najilisha kupitia jasho langu na mikono yangu,kwa kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa.
 
Ninyi ndio bado wale watanzania Hamna akili aloo. Unakera Sana we bwege. Unamsifia mtu mpaka yeye mwenyewe anashangaa kama huo sio upimbi unasababishwa na lishe duni ni kitu Gani???
 
Ungeweza kusikiliza maonyo na ushauri wa wazee wa chama cha mapinduzi waliokuzidi kila kitu ungejifunza mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi ndio bado wale watanzania Hamna akili aloo. Unakera Sana we bwege. Unamsifia mtu mpaka yeye mwenyewe anashangaa kama huo sio upimbi unasababishwa na lishe duni ni kitu Gani???
Mimi nazungumzia ukweli na siyo kumsifia pasipo hoja.mimi naelekea kile kilichotokea huko Nchini kenya kwa siku ya leo.kilichotupatia heshima watanzania kutokana na umahiri wa Rais wetu katika kujenga hoja mbele za watu na ufahamu wake mkubwa wa mambo mbalimbali.
 
Huko kenya wanamdharu kwa sababu zifuatazo
1.katokea Tz wanaamini watz haajasoma kama wao
2haongei fluent English kama wakenya
3.pesa yao inathani kuliko ya Tz wanaona pesa ya tz kama mavi
 
Ile we Lucas huwa unamchoraga huyu mama ingawa unatuzuga unamsifia, hizo sifa unazompa hata ye mwenyew anajijua hana!
 
BADO TU HAJATEULIWA HUYU MWASHAMBWA? 😆 😆
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja .
Sasa hapo kuna hoja au vihoja kama kawaida yako!!??
Tafuta kazi halali ufanye.
Uchawa ni kujidhalilisha wewe binafsi, nduguzo na marafiki.

Uchawa ni "ukosefu wa akili za kupambana kihalali na kiheshima" kupata mkate wa kila siku.
 
Nafanya kazi sana tu siyo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…