Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

Huko kenya wanamdharu kwa sababu zifuatazo
1.katokea Tz wanaamini watz haajasoma kama wao
2haongei fluent English kama wakenya
3.pesa yao inathani kuliko ya Tz wanaona pesa ya tz kama mavi
Wakenya wenyewe wanatamani Rais Samia angezaliwa nchini Kenya ili awaongoze na kupata maendeleo makubwa tuliyoyapata chini ya uongozi wake mahiri na madhubuti.unaotokana na kuwa na akili na maono makubwa .
 
Muda wa kuandika magazeti matano mpaka sita kila siku unautoa wapii!!??
Hata kama wewe ni "GIGO", jaribu ujitahidi uwe binadamu.
 
Kosoa panapotakiwa kukosoa,sifu panapotakiwa kusifu,pongeza tena sana panapotakiwa, lkn ukiwa unasifu kila kitu yawezekana ukawa na tatizo la AKILI na hasa pale watanzania wenzako wanapoteseka kwa maisha magumu kutokana na gharama za kupanda kwa mafuta,na bidhaa mbalimbali na huyo unae msifu amekaa kimya na ww unajiita mzalendo wa Taifa na unamsifu mtu aliyekaa kimya huku watanzania wenzako wakiteseka huku yy anakula vzr na kulala pazuri na hana pressure na maisha yake kwa sababu anatafuna kodi za watanzania,Usikae hapa unaandika vitu vingi ujue watu wameshaona kwa mambo uliyoandika na wengi wamesha conclude kwamba ww ndugu kwenye upande wa AKILI bado sana,tunaamin una macho ya kuona na masikio ya kusikia,basi kama hivyo vitu unavyo yaani macho na masikio alafu unaandika haya uliyo andika basi hatutakosea mm na watanzania wenzangu tukisema huna AKILI kwenye mambo ya kitaifa.Huyo mama yako unayemsifu hawezi kuwa shoka wala mpini.Nchi hii haiwezi na ameshachemka sana na nchi imemshinda na hatoshi kuongoza Taifa hili.
 
Ww uzalendo wako ni wa kushangilia mateso ya watanzania nje ya hapo huna lolote la kuwaambia watanzania.
 
Samia mupngoza njia....

Uliza njia ipi kabla ya kupita maana CCM ni chama.cha mizimu kws sasa. Bila kuroga hupati cheo
 
Wakenya wenyewe wanatamani Rais Samia angezaliwa nchini Kenya ili awaongoze na kupata maendeleo makubwa tuliyoyapata chini ya uongozi wake mahiri na madhubuti.unaotokana na kuwa na akili na maono makubwa .
Yaani wakenya wamtamani Rais ambaye anaendelea kushusha thamani ya sarafu ya Tz,hasimamii uchumi unaotoka ili kuleta dola huyo ndio wakenya wanamtaka.Tukisema hamna AKILI na hamjielewi Mnakataa.
 
Huwezi kupata uteuzi Kwa sababu unaongea kinyumenyume na watu walishakugundua
 
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Ukiona watu wengi wanakucriticize lzm ukiwa na akili hasa ya KUFIKIRI utajiuliza maswali achana na ile akili ya kutofikiri.Lzm ujue kuna sehemu unakosea,na usipokuwa na AKILI huwezi kujua chochote na utaendelea kuwadhihirishia wenye akili kwa nn ww unaitwa mwashambwa.
 
Yaani wakenya wamtamani Rais ambaye anaendelea kushusha thamani ya sarafu ya Tz,hasimamii uchumi unaotoka ili kuleta dola huyo ndio wakenya wanamtaka.Tukisema hamna AKILI na hamjielewi Mnakataa.
Kasi ya ukuaji wa uchumi wetu ni kubwa sana ambayo imewapa homa na malalia wakenya
 
Serikali ya Samia ni serikali ya kifisadi,CCM haifai kuwa madarakani
Your browser is not able to display this video.
 
We jamaa una element za narcissism na pia una vinasaba vya wale sadistic serial killers,
 
Namba ya nn sas fanyakazi kupe wew
 
Hongera kwa kukumbuka kuweka namba za Simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…