Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mama 2035
 
Hata umsifu huyu mashavu kiasi gani mimi nakuona chawa tu sina imani naye. Kasaliti mwendo wa kimapinduzi wa magufuli na ccm. Saa hizi ni kuuza nchi tu na kulea wapigaji. Mfano ni bandari zetu na kila mali asili ya nchi iko hatarini kuuziwa waarabu.
Sio siri mumeona taarifa ya ukwasi wake kwa marais matajiri afrika. Miaka miwili tu na nusu ana usd bilioni 4.7 na ni wa saba kwa marais matajiri afrika mwaka huu wa 2023. Kama taarifa ni uongo basi wakanushe.
 
Acha uongo na upotoshaji wako hapa wewe uliyekosa adabu ,akili na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wako na kujikulia tu kama kifaranga kilichoachwa na mama yake. Rais wetu ni mzalendo na ndio maana Rasilimali zetu zimekuwa zikitumika kwa ajili ya manufaa kwetu watanzania. Hakuna kilichouzwa au kutolewa bure kwa mgeni yeyote yule.
 
Umeanza kwa kunitukana lakini wewe ni chawa tu. Taarifa zipo ukweli upo wenye kuelewa wameelewa ila chawa ni wanyonyaji damu wa binadamu wenzao lazima watetea uongozi wa kipigaji.
 
Uharo
 
Mungu chukua hili shetani haraka
 
Mkuu wewe level Yako sio chawa tena, wewe ni level za kunguni😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…